Matumizi ya facebook...hasa kwa wenye ndoa..

Matumizi ya facebook...hasa kwa wenye ndoa..

MimiT

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
599
Reaction score
388
Ningependa hasa kuelimishwa matumizi ya facebook. Umuhimu wake ni upi? Kwa upande wa wenye ndoa...ni sahihi kujiunga na facebook? Najua wengi mtanishangaa lakini naamini kuwa aliyeanzisha facebook alikuwa ana nia nzuri tu lakini kadri cku zinavyoenda naona kama matumizi yake yamekuwa ndivyo sivyo. facebook ina encourage mahusiano yasiyo halali. (kwa mtazamo wangu)
 
sa mbona umetunga paper afu ukakaa chini ukatengeneza marking skim...then uka-attach!@jc--
 
Mimi fesbuku siifagilii hata kidogo. Kiukwelikweli sijawahi na sitaki kabisa kujiunga huko. Acha niwe mshamba tu.
 
halafu huko wake za watu zinashoboka balaa
 
Siyo kwa wanandoa tu,hata kwa relationship za kawaida..watu wana flirt na watu hata 20,full maugomvi ya wapenzi.mtu anaishi bila amani kule.khaa,shida zote za nini.it is gud 4 meeting pipo.but its bad,when it kams to mahusiano.
 
Sijawahi kuikubali hii kitu ati facebook..ht watumiaji wake wengi ni vijana tu,wanasema ujana ni maji ya moto. Namshukuru Mungu kwa kuniongoa na mambo ya ujana.
 
ukijiunga na facebook lazima tu utapata watu kibao wa kukutongoza au utawatongoza. mimi siipendi kwa kweli
 
dah,me nliwah kujiunga fb bt tangu mwaka jana july nilitoa. res. nilipata marafk weng bt asilimia kubwa walikuwa marafk wabaya nkiwa na maana walikuwa wanataka tuwe wapenz. nkaona cha mno nini. kila anaekuomba urafk anakutongoza. sa kuepuka usumbufu nkajitoa.
 
Sio kwamba ulihamishia album yako yote kule watu wakawa wanakuthaminisha then kwa maumbile yako yakawa yanaamsha mishipa yao? Hebu funguka.
 
Sio kwamba ulihamishia album yako yote kule watu wakawa wanakuthaminisha then kwa maumbile yako yakawa yanaamsha mishipa yao? Hebu funguka.

maumbile yenyewe utata mtupu, btw nilikeka pic half size cha ajabu inbox ikawa overloaded... je ningeweka full
 
Labda mimi nitakua na low vision!
Nna maana yale yafanyikayo fcbk sidhani kama na huku yanashindikana incase ukiwa u'muumini wa hayo mambo!
Tofauti nizionazo mie ni chache, mf. Social ya fcbk imepanuka kwa maana ya kuwa na Members wengi than Jf.
Mambo ya kuweka profile photo za kimagumashi yanafanyika kwenye mtandao wowote.
Fcbk childish iko kwa kiwango kikubwa kuliko Jf
Kwani Jf ukitaka kutongoza wengi na ukawapata inashindikana nini?
 
maumbile yenyewe utata mtupu, btw nilikeka pic half size cha ajabu inbox ikawa overloaded... je ningeweka full
Ungeweka full watu wangeshaenda kuregister ndoa kwenye nyumba za ibada bila ridhaa yako! Kama half size tu watu wamechanganyikiwa inaonekana you are very cute! Ngoja nami nitafute namna nijionee.
 
ni mtazamozamo by naniliu. ni kweli ukiwa member wa ile chama hakuna kinaçhoshndikana!
 
dah,me nliwah kujiunga fb bt tangu mwaka jana july nilitoa. res. nilipata marafk weng bt asilimia kubwa walikuwa marafk wabaya nkiwa na maana walikuwa wanataka tuwe wapenz. nkaona cha mno nini. kila anaekuomba urafk anakutongoza. sa kuepuka usumbufu nkajitoa.

Wakati we unakimbia,wenzako wengine ndiyo hawaishi kujinadi.. Kuna chizi mmoja anajiita "Cute Gag Gal",na "Gestar Ley Mcharuko",mwingine anajiita "Cool Hummin"..

Hao acha tu!
 
mh, me cyawez ndo mana nkasepa mapema!

Kuna mwingine alijisifia kuwa kashapata "cha Arusha" sasa anajisikia mwerere...

Majuzi kuna mwingine katupia picha ya mdada aliyelewa,kavaa chupi na blauzi,na hajavua viatu kitandani!

Halafu mademu..
 
Kuna mwingine alijisifia kuwa kashapata "cha Arusha" sasa anajisikia mwerere...

Majuzi kuna mwingine katupia picha ya mdada aliyelewa,kavaa chupi na blauzi,na hajavua viatu kitandani!

Halafu mademu..

washaifanya fb km danguro! hapo ndo shda inapoanzia....
 
Back
Top Bottom