Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

Sep 10, 2023
20
65
Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? 😃
 
Hiyo ni branding, Ukiona mtu anaitwa Engineer basi kasajiliwa na board husika. So watu wakitaka mtaalamu aliethibishwa wanawahi kwa hao wanaowaona mitandaoni wewe ulijificha unasubiri utume maombi ya kazi ndio uandike una CPA utakaa sana.
 
mataito mataito ni ujinga tu kama lile malaika la mashetwani lilivyolazimisha udokta mpaka sasa kila mtu anajiita dokta wanaacha kutafuta suluhisho la matatizo lukuki yanayotukabili ikiwemo uchumi wanahangaika nma mataito siju nani sijui nini , wanashangaa kila uchao wanajaaa wachina tu mtaani hawahangaiki na taito wala nini wanapiga biashara na kazi tu.
 
Hii ndo Tanzania..
Mbunge anaitwa mheshimiwa Engineer Pwagu bin Pwaguzi..
Na CPA nao wameanza...
Kama ambavyo madokta wa Hospitalini walivyobeba taaluma Yao Hadi kwenye siasa na huko wanakuta kuna PhD hadi za mitishamba na zote zimatambulika...
 
Distinguish Dkt, Professor, CPA, Engineer,,Nurse, Jalalani
 
mataito mataito ni ujinga tu kama lile malaika la mashetwani lilivyolazimisha udokta mpaka sasa kila mtu anajiita dokta wanaacha kutafuta suluhisho la matatizo lukuki yanayotukabili ikiwemo uchumi wanahangaika nma mataito siju nani sijui nini , wanashangaa kila uchao wanajaaa wachina tu mtaani hawahangaiki na taito wala nini wanapiga biashara na kazi tu.
Umesema ukweli sana!
 
Back
Top Bottom