sawaUnapaswa kuweka flight mode ili laini za simu ziwe off.
Sometimes wanasema wenye biblia nyanyueni juu, ambao hawana lakini wanatumia za simu nyanyueni simu zenu! Alafu kichambo kinaanzia hapo sasaNadhani haina shida hao wachungaji wanaopinga nina wasiwasi na imani zao kama hakuna neno lililobadirika shida ipo wapi? Kama ulivyosema wajipange mfano kama catholic bible mtandaoni ni shida na kingine kizuri kwenye bible app sasa hivi hata ukiwa kazini ,safarini na n.k ni rahisi kupitia neno la Mungu
Hata makanisani simu tukakuwa nazo ila tunaziweka off tu, lakini bado sijaona ubaya wa kutumia bible app kama ni italeta matumizi mengine mabaya kanisani hili linahitaji elimu tu.Teknolojia isitufanye tujisahau kiasi hicho! Simu uko nayo wiki nzima na ina hiyo app na hujawahi isoma, hiyo ya kwenda na simu kanisani sababu tuu ya app sidhani kama ni sahihi!
Simu ina vishawishi vingi sana! Beba Bible yako kwani utapungukiwa nini!
Kanakuja kashetani kanasema toa, hyo flight mode.Unaweza kuweka flight mode ili laini za simu ziwe off mkuu.
Labda tu nikwambie kiufupi ...maswala ya roho usiyaweke kwenye teknolojia ... ROHO na teknolojia ni tofaut teknolojia inatumiwa na ibilis kwa asilimia nyingi hvo kitu chenye roho ya MUNGU mfano biblia hakitaweza kuwa na nguvu ikiwa kikiwekwa sehem ambayo ibilisi ametawala asilimia kubwaFafanua mkuu labda nahitaji kueleweshwa ili nibadilike. Ndio faida ya platform kama hizi.
Ni kwa nini Bible app na sio biblia?!Hata makanisani simu tukakuwa nazo ila tunaziweka off tu, lakini bado sijaona ubaya wa kutumia bible app kama ni italeta matumizi mengine mabaya kanisani hili linahitaji elimu tu.
Hako kashetani hakaji wakati unatumia bible app tu hata kama ipo mfukoni! Ni tabia tu!
ukifungua bible app unashangaa notification instgram inakuja diamond afunguka mazito baada ya kuchana na zariHako kashetani hakaji wakati unatumia bible app tu hata kama ipo mfukoni! Ni tabia tu!
Another mistake brother. Tunampa bure shetani utukufu bila kujua. Maendeleo ya mwanadamu yanatokana na nguvu iliyo ndani yake ya uumbaji ambayo inatokana na Mungu mwenyewe ambaye sisi wanadamu ni sura na mfano wake!Labda tu nikwambie kiufupi ...maswala ya roho usiyaweke kwenye teknolojia ... ROHO na teknolojia ni tofaut teknolojia inatumiwa na ibilis kwa asilimia nyingi hvo kitu chenye roho ya MUNGU mfano biblia hakitaweza kuwa na nguvu ikiwa kikiwekwa sehem ambayo ibilisi ametawala asilimia kubwa
SIMU Inaweza beba video za ngono
simu hio hio umetumia kusema uongo
af baadae uweke biblia my friend hautaielewa
KEY POINT
Ukitaka uone kama biblia ya kwenye simu haina maana ...katika ROHO
Fanya yafuatayo
Siku ukiona mtu amepandwa pepo chukua simu yako yenye biblia ndan kisha sogea karibu yake uanze kusema ushindwe kwa jina la yesu ..na mwingine ashike biblia kama kitabu uone nani atakaekabwa shati na kupasuliwa simu