Matumizi sahihi ya Diary Book.

Matumizi sahihi ya Diary Book.

KatwigaTZ

Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
14
Reaction score
4
Wadau naomba msaada wa mawazo, kila mwaka nimekuwa nikijitahidi kununua Diary lakini kutumia ni shida ..
Je ni yapi matumizi sahihi ya Diary
9ed35888ac73c44f3105da4e2f38a77b.jpg
 
Mkuu unapanga appointment zako zote, ni rahisi hata ukipata udhuru unaosema unaweza kuja Dec 21, ukiangalia kwenye diary ile siku imeshapangiwa ratiba, unamwambia mwenye udhuru, samahani siku hiyo nina shughuli nyingine.
 
Mmhhh unaweza kupanga appointment miez 3 kabla? Tusidanganyane ngozi nyeusi kwenda na ratiba ni ngumu sana.
ninachofanyaga mm ni kuandika vitu muhimu nilivyofanya siku hyo na weka records.
 
Asante...
 
me nadhan inawezeka ukiamua...without forced
 
Sasa wewe una nunua la nini kama hujui matumizi?
Anyway, diary book hutumika kuhifadhi mipango yako na kumbukumbu mhimu, hata hesabu mhimu za biashara zako.
 
Mmhhh unaweza kupanga appointment miez 3 kabla? Tusidanganyane ngozi nyeusi kwenda na ratiba ni ngumu sana.
ninachofanyaga mm ni kuandika vitu muhimu nilivyofanya siku hyo na weka records.
Maranyingi academic na professional calendars zinakuwa na engangements zote za mwaka za kampuni pia unaweza kuweka siku ambazo utakuwa likizo, inasaidia kazini na marafiki pia kuwataarifu.
 
Sijawaji kununua hiyo kitu naona ubadhilifu wa hela
 
aaaah hayo mambo mengine waachieni wazungu. waswahili.hatuwezi kabsa kwenda na ratiba pamoja na utunzaji wa kumbukumbu
 
Maranyingi academic na professional calendars zinakuwa na engangements zote za mwaka za kampuni pia unaweza kuweka siku ambazo utakuwa likizo, inasaidia kazini na marafiki pia kuwataarifu.
Ila asante kwa taarifa, so unanishauri yale matukio ya ghafla alafu hayana ulazma tuzikaushie?
 
Kanune diarey then ukurasa wa kwanza andika taarifa zako za muhimu z
Hata kama ikipotea ni rahisi muhisika kukurudishia.
Then ukurasa wa mwanzo andika mambo ambayo unahisi ww yanakula furaha
Ukurasa unaofuata andika manbo yanayokuhuzunisha

Katikati mwa diary yako andika malengo yako yote kwa mwaka mzima iwe madogo au makubwa watu wengi wengi tunatabia ya kuandika malengo makubwa tu na kuyapuuza yale madogo wakati yale madogo ndo yananguvu zaidi unapoandija malengo yako unaweza ukayatenga
Kiroho
Kijamii
Kiuchumi
Kisiasa
Na uandike ni jinsi gani utayafikia malengo yako...

Na kwenye kurasa nyingine kila ukipata wazo lolote we liandike kwenye kitabu chako utashangaa ww mwenyewe mwaka wako utakavyokuwa wa mafanikio.
Kurasa za nyuma andika matumizi yako na mapato itakurahisishia mambo mengi ,,,
Note:unavyoandika andika kwa namna hata kitabu chako kikipotea siyo rahisi mtu kuelewa kwa haraka
 
Mmhhh unaweza kupanga appointment miez 3 kabla? Tusidanganyane ngozi nyeusi kwenda na ratiba ni ngumu sana.
ninachofanyaga mm ni kuandika vitu muhimu nilivyofanya siku hyo na weka records.
ngozi nyeusi yaan unaleta ubaguz wa rangi humu
 
Nenda nayo nyuma ya primary school iliyo karibu nawe, sikiliza kinachofundishwa kisha andika summary.

Hayo ndo matumizi sahihi ya diary ya lady jei dii.
 
Natembeaga nayo kukusanya no kwa totoz na kuandika masomo ya semina tu
 
Back
Top Bottom