Kanune diarey then ukurasa wa kwanza andika taarifa zako za muhimu z
Hata kama ikipotea ni rahisi muhisika kukurudishia.
Then ukurasa wa mwanzo andika mambo ambayo unahisi ww yanakula furaha
Ukurasa unaofuata andika manbo yanayokuhuzunisha
Katikati mwa diary yako andika malengo yako yote kwa mwaka mzima iwe madogo au makubwa watu wengi wengi tunatabia ya kuandika malengo makubwa tu na kuyapuuza yale madogo wakati yale madogo ndo yananguvu zaidi unapoandija malengo yako unaweza ukayatenga
Kiroho
Kijamii
Kiuchumi
Kisiasa
Na uandike ni jinsi gani utayafikia malengo yako...
Na kwenye kurasa nyingine kila ukipata wazo lolote we liandike kwenye kitabu chako utashangaa ww mwenyewe mwaka wako utakavyokuwa wa mafanikio.
Kurasa za nyuma andika matumizi yako na mapato itakurahisishia mambo mengi ,,,
Note:unavyoandika andika kwa namna hata kitabu chako kikipotea siyo rahisi mtu kuelewa kwa haraka