Hakuna ulazima Wa malori kupita kwenye madaraja kwa kuwa kuna njia mbadala zinazoweza kuhimili magari ya mizigo. Sidhani km kuna ulazima Wa Lori kupita kwenye flyover's wakati njia ya chini ipo, pia kwenye maji Lori linaweza kupandishwa kwenye ferry. Njia ya leri na maji ndio njia sahh kwa mizigo mizito
Mkuu embu acha kudhani jaribu kutoa fact kama mtu mzimaHakuna ulazima Wa malori kupita kwenye madaraja kwa kuwa kuna njia mbadala zinazoweza kuhimili magari ya mizigo. Sidhani km kuna ulazima Wa Lori kupita kwenye flyover's wakati njia ya chini ipo, pia kwenye maji Lori linaweza kupandishwa kwenye ferry. Njia ya leri na maji ndio njia sahh kwa mizigo mizito
Hili daraja la kigongo busisi lipo wapi (mkoa)?
Ooh sawa..... Wilaya je kumladhi..?Mwanza
Kwa sababu wanajua wakala wa mizani na vipimo hawapo serious kwenye kusimamia sheria za mizani na uzito...
Malaori yataoa rushwa na kupita na uzito usiokubalika hatimae kuziangusha hizo flyover...
Kingine hazijengwi kukithi mahitaji ya uzito mkubwa sana...
Cc: mahondaw
We are the most idiot people in the world, no focus, no planning Mambo hobelahobelaNdugu zangu Tanzania tunatumia pesa nyingi kujenga flyover na madaraja ,lakini kwanini malori hayaruhusiwi kupita juu ya madaraja husika? Nitatoa mfano,
1.Daraja la mfugale-Malori hayaruhusiwi?kwanini?
2.Ubungo nayo--Malori yatatakiwa kupita chini...kwanini?
3.Daraja la kigongo busisi--Malori yataendelea kupita kwenye fell licha ya kutumia billion 700..
Jamani anomben sababu ya kwanini malori hayarushusiwikupita kwenye madaraja husika??
Mkuu daraja la mto Kagera limejengwa mwaka 1997 mpaka leo ni imara na maroli ya mpaka tani 50 yanapitaa kwann sio haya mapyaa na mimi najiulizaaambona daraja la kigamoni malori yanapita? daraja la rufiji malori yanapita..kwanini ubungo na busis ambapo tunatumia pesa nyingi malori hayarushusiw? kwanini tusjenge kitu cha kumaliza shida..WAANDISHI WA HABARI JARIBUNI KUWAULIZA WATENFDAJI NA WAZIRI WA UJENZI. KWANINI TUTUMIE PRESA NYINGI KUSOLVE NUSU YA TATIZO
Mkuu daraja la mto kagera limejengwa mwaka 1997 mpk leo ni imara na maroli ya mpk tani 50 yanapitaa kwann sio haya mapyaa na mimi najiulizaaa
Kwa kukusaidia tu, malori yanachangia sana uharibifu wa barabara na ndio maana nchi nyingi hutumia treni kubeba mizigo mizito ili kuzipa uhai wa muda mrefu barabara na madaraja,Ndugu zangu Tanzania tunatumia pesa nyingi kujenga flyover na madaraja ,lakini kwanini malori hayaruhusiwi kupita juu ya madaraja husika? Nitatoa mfano,
1.Daraja la mfugale-Malori hayaruhusiwi?kwanini?
2.Ubungo nayo--Malori yatatakiwa kupita chini...kwanini?
3.Daraja la kigongo busisi--Malori yataendelea kupita kwenye fell licha ya kutumia billion 700..
Jamani anomben sababu ya kwanini malori hayarushusiwikupita kwenye madaraja husika??
MIzani inasababu gani kuwepo?Ubora wa madaraja haumili uzito wa hayo malory, maana yanabeba mzigo wa tani kubwa.. Ndhani itakua hivyo