Matumizi mabaya ya rasilimali watu

majutobeach

JF-Expert Member
Aug 10, 2016
212
164
Huko ni bush
IMG-20171128-WA0016.jpg
 
Huyu anatakiwa awe anajiandaa na test I, kuitafuta CW! Daaah. Hii mifugo itanawiri kama yeye!
 
huyu atakuwa anaishi mjini au anasoma Chuo. Uvaaji huo siyo wa kijijini. Atakuwa ameenda kusalimia kijijini kwao, ndo kaamua kupiga picha nma kopndoo wa kwao.
 
Hayo ni matumizi mazuri, kwani hata mifugo yenyewe itaongezeka kwa kuzaliana, maana beberu akimcheki huyo alivy mzuri lazima amtafute mbuzi jike waongeze familia
 
Amekwenda tu kutembelea bibi akaamua kuselfee na nifugo. Chezea toto za mjini wewe
 
Back
Top Bottom