Matumaini Ya Kuiondoa CCM 2015 yanazidi Kupotea

Matumaini Ya Kuiondoa CCM 2015 yanazidi Kupotea

Nitajiunga na jeshi la waasi kwenda porini kwaajili ya kuifurusha ccm madarakani
 
Daah, mimi wa Tz huwawananiacha njori sana, ni shida sana mtu unasoma harafu unategemea CCM ukutoe. So unafikiria 2015 CCM mtashinda?? Sasa mgombea ni nani? Hata for predictions tu ni hayupo wa kupambana na Slaa, alikuwa Sitta lakini ji Kigeugeu, B. Membe hana uwezo uwezo wake ni wakufikiria vitu vidogovidogo bora hata Lowasa oamoja na kwamba ni Mwizi.
Au mnataka kumsimamisha Mwigulu Nchemba?
 
Inaweza kuwa kwa vile raisi atapatikana kwa matakwa ya CCM! Ila kumbuka tu uvumilivu unakikomo
 
chadema imekuwa dhaifu sana.. haina tofauti na tlp
 
Daah, mimi wa Tz huwawananiacha njori sana, ni shida sana mtu unasoma harafu unategemea CCM ukutoe. So unafikiria 2015 CCM mtashinda?? Sasa mgombea ni nani? Hata for predictions tu ni hayupo wa kupambana na Slaa, alikuwa Sitta lakini ji Kigeugeu, B. Membe hana uwezo uwezo wake ni wakufikiria vitu vidogovidogo bora hata Lowasa oamoja na kwamba ni Mwizi.
Au mnataka kumsimamisha Mwigulu Nchemba?

tanzania haina dini, slaa ni padri
 
mwaka 2010 watanzania wengi tulianza kujipa moyo sasa ni muda wa kuondoka ccm madarakani, kutokana na mhamko wa wakati huo hasa chadema na mgombea wake wa urais dr slaa walipotikisa ngome za ccm. Wengi tuliamka kutoka usingizini. Lakini sasa matumaini yameanza kupotea na uwezokano wa ccm kurudi madalakani sasa ni mkubwa, hii ni kutokana na vyama vyetu vya upinzani kwa sasa havieleweki. Kwangu mimi ukawa sina hakika kama itadumu mpaka mwakani kwani upepo umeanza kuonyesha hivyo. Kutokana na mazingira yanavyoonyesha na hali ya siasa ilivyo ccm mwakani lazima washinde kwa hilo nasikitika kama mwanamabadiliko. Huo ndio ukweli ambao hatutaki kuusema.

unaota?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom