Matumaini Ya Kuiondoa CCM 2015 yanazidi Kupotea

CDM wamefanya makosa sana kuungana na UKAWA,,,, na haya makosa hata CUF wamefanya pia,, let us be honest,, hidden idielogy za vyama hivi ni tofauti sana,, sisi wanachama ndo tunaua vyama hivi tukishirikiana na viongozi wasio taka kuambiwa ukweli....

1. CDM inaungwa mkono sana na wakiristu.... wanachama wengi wa chama hiki ni wakirstu.. hata humu JF pia ni hayo hayo, na juhudi ya kukifanya chama hiki kiwe neutral zipo lakini hazina nguvu sana ,, nadhani hata viongozi ndani wanajipambanua hivyo... KAULI MBIU YA KULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU inafisha menge nyuma ya pazia

2. CUF,, ni kipenzi kwa waislam hasa wale wanaoitwa ''siasa kali'' CUF kinaonekana kama chama kitakacho kuja wakomboa waislam katika ukandamizaji ulofanywa miaka nenda miaka rudi na serekari ya CCM na BAKWATA yake... wengi mtapinga lakini hayo ndo mawazo wa waislam walio wengi wenye mlengo huu wa kiitikadi

UKAWA IMEWACHANGANYA

(a)Wanazi wa CUF misikitini always wamekiona CDM kama chama No 1 pinzani kwa imani yao,, ni chama ambacho kitaendeleza maumivu yalo dumu kwa miongo kadhaa.... (matazamo tu sio lazima iwe kweli) so CUF kuugana na Chadema ni kama usaliti flan hivi... na wengi wamebaki cold...... strategy ya kuungana ingeshirikisha wanachama ingepokelewa vizuri lakini wanachama hawa kushirikishwa.

(b) Wanazi wa CDM wanaona kuwa Serekari iliopo imekua inawapendelea waislam hasa katika uongozi kuna wakati waliwahi hata toa ist ya viongozi wa juu wakihisi waislam wako wengi zaidi na haijapata tokea katika historia... ( kama ni kweli sina uhakika) na wanaona ni wakati wa kuongozwa na Na mtu Wa ''MUNGU'' hawa wanazi wanaiona CUF ni chama cha waislam,, so kumtanguliza Ibrahim Lipumba kwenye uchanguzi ujao ,, hawatakubali wengine wataona bora kuichagua CCM kama watamtangukiza Mkristu.

KURA ZA ADHABU ( MARUHANI)

Kuna uwezekenao mkubwa kukawa na dispointements pande zote mbili na hvyo kupelekea kura za hasira atakazo zawadiwa CCM, na hili CCM wanalijua ndo maana CCM hawapambani na UKAWA wanajua mtaji uko hapo

asante sana ,, huu ni mtazamo wangu binafsi sina maana ya kuchochea au ku infulence yeyote... ni maoni yangu binafis
 
ukichanganyikiwa huwezi jua kama uko matokeo yake wale ambao hawako hivyo utawaona kama wamechanganyikiwa lkn sivyo ni ww ccm ipo cku watachia ngazi kwa uwezo wake mwenyezi mungu
 
Mkuu wewe ulikua umejiandaa kuona ccm inatoka mwakan kwa taarifa yako ccm itasherekea miaka 100 ya kutawala

Wewe Mbuzi Wa Sherehe Endelea Kuishi Kwa Matumaini Hivyo Hivyo But Tambua Kuwa Lazima Muondoke Kwa Aibu, Mmezoea Kuwahonga Watu Chumvi, Khanga, Tshirt, Kofia, Kuwasomba Na Kuwadhalilisha Watu Ktk Malori Kama Mbuzi Na Nguruwe Ktk Mikutano Ya CCM, Lazima Mugendego.
 
ukichanganyikiwa huwezi jua kama uko matokeo yake wale ambao hawako hivyo utawaona kama wamechanganyikiwa lkn sivyo ni ww ccm ipo cku watachia ngazi kwa uwezo wake mwenyezi mungu

NYIE MASUKUMA MAPUMBAFU SANA,CHENNGGE ANAWAHONGA NYAMA,WALI NA CHUMVI Then Mnachagua CCM, Bei Ya Pamba Imeshushwa Maksudi Na CCM, Umeme, Maji Na Barabara Bado Ni Ndoto Vijijini Bariadi Lakin Hamustuki Kila Kitu Nduhu Tabu, Wasu------ Mpo!.?
 
Sio bure mleta mada analake jambo.Nakuomba mleta mada utupe matokeo ya utafiti wako huo na uyabandike hapa.Kama hayapo basi jitahidi kuuzuia uropokaji wako huo.
 
Hilo halitawezekana hata isiwe mwakani,sisiemu itaondoka tu hizo zako ni ndoto tu! misukule ishaanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono.
 
Sababu za kuondoka sisiemu madarakani ni nyingi sana.Kwa uchache;sisiemu ni chama cha mafisadi,hakijaleta matumaini ya maisha bora kwa kila mtanzania,kina uongozi dhaifu na wenye upendeleo,kimebariki wizi wa mali za umma,kimemwacha Mwalimu J.K Nyerere,siyo tena chama cha wakulima na wafanyakazi,kinayumbisha upatikanaji wa katiba mpya na ndiyo chanzo kikuu cha ufukara wa Watanzania!
 
woga wako tu mbona mwaka 1995 ccm ilishindwa uchaguzi wa raisi na A.L. mrema vivyo hivyo mwaka 2010 walishindwa uchaguzi na wa raisi na DR.W. slaa wakachakachua kama walishindwa uchaguzi wa raisi tannzania bara na wamekuwa wakishindwa uchaguzi wa raisi zanzibar ni CCM ipi hiyo unaiyoiesma ,
Mwaka 2010 Watanzania Wengi Tulianza Kujipa Moyo Sasa Ni Muda Wa Kuondoka CCM Madarakani, Kutokana Na Mhamko Wa Wakati Huo Hasa CHADEMA NA MGOMBEA WAKE WA URAIS DR Slaa Walipotikisa Ngome Za CCM. Wengi Tuliamka Kutoka Usingizini. Lakini Sasa Matumaini Yameanza Kupotea Na Uwezokano Wa CCM Kurudi Madalakani Sasa Ni Mkubwa, Hii Ni Kutokana Na Vyama Vyetu Vya Upinzani Kwa Sasa Havieleweki. Kwangu Mimi UKAWA Sina Hakika Kama Itadumu Mpaka Mwakani Kwani Upepo Umeanza Kuonyesha Hivyo. KUTOKANA NA MAZINGIRA YANAVYOONYESHA NA HALI YA SIASA ILIVYO CCM MWAKANI LAZIMA WASHINDE KWA HILO NASIKITIKA KAMA MWANAMABADILIKO. HUO NDIO UKWELI AMBAO HATUTAKI KUUSEMA.
 
Pole ndugu naona unataka kuharakisha sana CCM kuondoka kesho ! Hakuna demokrasia ya namna hiyo duniani. Athari mojawapo ya demokrasia ni muda unaotumika katika kufanya mabadiliko na kwa nchi kama Tanzania. Kuwa mvumilivu, mabadiliko ni lazima mwakani au baada ya miaka 100 ijayo.
Nakusihi uendelee kusubiri CCM kuondoka madarakani ni zaidi ya lazima
 
kwa kweli wasukuma bado sana ila wanahitaji elimu ya uraia kanda ya ziwa yote na 2015 napeleka jeshi la ukombozi kwa wasukuma wa nkololo dutwa kanadi itilima na ntuzu kwenda kuteketeza masalia ya ccm kama vile ndugu ngalyabuyenze na seni, njalu silanga na jopo lake lakini naamini wasukuma wakiamua noma
 
CDM wamefanya makosa sana kuungana na UKAWA,,,, na haya makosa hata CUF wamefanya pia,, let us be honest,, hidden idielogy za vyama hivi ni tofauti sana,, sisi wanachama ndo tunaua vyama hivi tukishirikiana na viongozi wasio taka kuambiwa ukweli....

1. CDM inaungwa mkono sana na wakiristu.... wanachama wengi wa chama hiki ni wakirstu.. hata humu JF pia ni hayo hayo, na juhudi ya kukifanya chama hiki kiwe neutral zipo lakini hazina nguvu sana ,, nadhani hata viongozi ndani wanajipambanua hivyo... KAULI MBIU YA KULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU inafisha menge nyuma ya pazia

2. CUF,, ni kipenzi kwa waislam hasa wale wanaoitwa ''siasa kali'' CUF kinaonekana kama chama kitakacho kuja wakomboa waislam katika ukandamizaji ulofanywa miaka nenda miaka rudi na serekari ya CCM na BAKWATA yake... wengi mtapinga lakini hayo ndo mawazo wa waislam walio wengi wenye mlengo huu wa kiitikadi

UKAWA IMEWACHANGANYA

(a)Wanazi wa CUF misikitini always wamekiona CDM kama chama No 1 pinzani kwa imani yao,, ni chama ambacho kitaendeleza maumivu yalo dumu kwa miongo kadhaa.... (matazamo tu sio lazima iwe kweli) so CUF kuugana na Chadema ni kama usaliti flan hivi... na wengi wamebaki cold...... strategy ya kuungana ingeshirikisha wanachama ingepokelewa vizuri lakini wanachama hawa kushirikishwa.

(b) Wanazi wa CDM wanaona kuwa Serekari iliopo imekua inawapendelea waislam hasa katika uongozi kuna wakati waliwahi hata toa ist ya viongozi wa juu wakihisi waislam wako wengi zaidi na haijapata tokea katika historia... ( kama ni kweli sina uhakika) na wanaona ni wakati wa kuongozwa na Na mtu Wa ''MUNGU'' hawa wanazi wanaiona CUF ni chama cha waislam,, so kumtanguliza Ibrahim Lipumba kwenye uchanguzi ujao ,, hawatakubali wengine wataona bora kuichagua CCM kama watamtangukiza Mkristu.

KURA ZA ADHABU ( MARUHANI)

Kuna uwezekenao mkubwa kukawa na dispointements pande zote mbili na hvyo kupelekea kura za hasira atakazo zawadiwa CCM, na hili CCM wanalijua ndo maana CCM hawapambani na UKAWA wanajua mtaji uko hapo

asante sana ,, huu ni mtazamo wangu binafsi sina maana ya kuchochea au ku infulence yeyote... ni maoni yangu binafis

Dah,mulemule mkuu,na wakija kufarakana watachukiana kuliko wanavoichukia ccm
 
Mwaka 2010 Watanzania Wengi Tulianza Kujipa Moyo Sasa Ni Muda Wa Kuondoka CCM Madarakani, Kutokana Na Mhamko Wa Wakati Huo Hasa CHADEMA NA MGOMBEA WAKE WA URAIS DR Slaa Walipotikisa Ngome Za CCM. Wengi Tuliamka Kutoka Usingizini. Lakini Sasa Matumaini Yameanza Kupotea Na Uwezokano Wa CCM Kurudi Madalakani Sasa Ni Mkubwa, Hii Ni Kutokana Na Vyama Vyetu Vya Upinzani Kwa Sasa Havieleweki. Kwangu Mimi UKAWA Sina Hakika Kama Itadumu Mpaka Mwakani Kwani Upepo Umeanza Kuonyesha Hivyo. KUTOKANA NA MAZINGIRA YANAVYOONYESHA NA HALI YA SIASA ILIVYO CCM MWAKANI LAZIMA WASHINDE KWA HILO NASIKITIKA KAMA MWANAMABADILIKO. HUO NDIO UKWELI AMBAO HATUTAKI KUUSEMA.

mwanamabadiliko gani umetawaliwa na hofu na uoga??
 
Kiukweli hakuna mtu anayejitambua anaishabekia wanachokifanya sasa hivi nitumia opportunity wa watu ambao hawajielewi na hasa vijijini na ndo kifua chao kikuu mpaka sasa hivi ila Mungu yupo wa tz tutafikia mapinduzi
 
Matumaini ya kuing'oa CCM madarakani yanazidi kupungua kwakuwa CCM wamewapatia Wananchi MAISHA BORA waliyowaahidi au? Maji, Umeme, Barabara, Elimu bora vyote vimeboreshwa vinapatikana ndani ya CCM? Wafanyakazi wanalipwa mishahara minono ama hadaa inaendelea kwao? CCM wame review Mikataba ya Kifisadi waliyoingia Kwenye Madini, na sekta ya nishati? Wanyama wetu wameacha kuuawa na kusafirishwa hovyo? ... CCM wameacha mauaji kwa raia wasiokuwa na hatia kwenye maeneo yenye migodi ya dhahabu?.... Thamani ya shilling imeimarika uchumi umekua?... CCM wananini cha kuwaambia Watanzania baada ya miaka 55 ya uhuru? ... Billion 400 za Ufisadi wa IPTL? Trillions za USwiss? .... Please achene dhihaka kwa Watanzania... watu wanashida, maisha ni magumu kuliko mnavyofikiri na kujamba humu jamvini ...
Tafuta sabuni ukaoge...
 
Back
Top Bottom