Matukio ya watu kupigwa nondo jijini Mbeya

Sio kweli mkuu!,jamaa ameamua kuwapaka matope watu wa Mbeya,Hivi hao wahuni wachache ndo waharibu sifa ya Wana Mbeya wote??? ,Jamani Ssmaki mmoja akioza,unamtupa ili ubakiwe na wazuri.

Hahaha nilikuwa nasikizia atasema mini mkuu! Naielewa vizuri mbeya, nimekaa na nilisoma huko, hayo anayosema ni kana Kenya na CNN
 
Hahaha nilikuwa nasikizia atasema mini mkuu! Naielewa vizuri mbeya, nimekaa na nilisoma huko, hayo anayosema ni kana Kenya na CNN

Watu wa mbeya kweli ni abnormal,, huku rungwe saa tatu asubuhi maduka bado hayajafunguliwa eti bado wamelala..sio wazima kabisa hawa.
 
Back
Top Bottom