That's my girl,

Anawazungumzia teenagers huko, yaani Ugali Dagaa na Bamia ulivyo mtamu unaanzaje kufikiria kujiua kisa maneno ya waliokata tamaa za Maisha,
Kila siku nasema Homophobic wote ni Maskini ambapo sifa kubwa ya Maskini ni kulaumu wengine kupitia magumu yake anayopitia,
Angalia hata humu wengi ni graduates waliokosa Ajira, wengine ni Watu wazima umri ushamtupa lakini bado yupo kwenye Nyumba ya Kupanga na Watoto rundo, wengine wanafanya kazi yenye Mshahara mdogo kipato chake kanaishia kwenye kula na kulipa bills, wengine wana Madeni hadi kwenye kope na hawana uhakika wa kuyalipa, list ni ndefu,
Kiufupi Mtu anayechukia Ushoga ni sababu na yeye anajichukia, sasa alitarajia kuona Mashoga wanaishi Maisha ya kukosa Furaha, Maisha ya Kifukara, Maisha ya Kuteseka lakini ndio kwaaaaaaaanza furaha kama zote na Bata linaliwa hadi Kuku wanaona wivu.
