Matukio ya uchaguzi wa Marekani!! Weka tukio lako hapa!

mimi kama mwangalizi wa kimataifa nasema uchaguzi umefanyika kwa amani hakukuwa na dosari yoyote.

hapa nasubiri meseji ya imethibitishwa umepokea mamilioni yako. Ili nirudi zangu home🤣
 
Halafu watu wenyewe ndio nyie mnaofanya mzaha kama huu humu,halafu et ndio Tundu Lissu alitegemea mtaingia barabarani?

Ukweli ni kwamba kwa kutokujijua kuna watu haya mambo yanayofanywana ccm hupenda kuona yakitokea na kule kulalamika ndio imekuwa starehe yao,kwa mtu ambaye amechukizwa na haya yaliyotokea kwenye huu uchaguzi hawezi kufanyia mzaha wa hayo mambo kama hivi.
 
UCHAGUZI USA
IMG_20201103_113101.jpg
 
Back
Top Bottom