Matukio ya kukumbukwa mwaka 2004

Ndio mwaka najipata kimaisha naondoka Kwa baba na mama. Thanks to Mkapa.
 
Ni mwaka nilioandika barua katika mashindano ya uandishi wa barua Zanzibar mzima katika shule za primary na nikapata ushindi wa kwanza kwa washindani wangu wote na zawadi mahususi ni kapatiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…