Matukio ya ajabu around siku ya kuzaliwa

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
1,616
Reaction score
3,432
Ni hivi mara nyingi nimekuwa niki notice matukio ya majanga siku 3 kabla au baada ya birthday ingawa sio kila mwaka.

Mwaka fulani lilitokeaga tetemeko tuko shuleni kwenye paper.
Mwaka fulani nilichezeaga kibuti
Mwaka mwingine nikajikuta nimesafiri ila usafiri ukaharibika njiani tulipata shida sana
Mwaka mwingine ukanikuta kwenye paper ngumu.
Mwaka fulani nilikosa interview muhimu
Recently
Last year ndio Covid ikatia mguu Tanzania
Mwaka huu nchi ikazizima kwa kupotelewa na kiongozi mkuu

Kuna uhusiano wowote wa kiroho na matukio hayo.
[mention]Mshana Jr [/mention]
 
Nitarejea hapa[emoji1545][emoji1545]
 
Nadhani PM ya His Excellency Mshana Jr inajaaga hayo makorokocho yenu.
Mwacheni apumuwe.
Mbona humu wachawiwachawi wako wengi kina johnthebaptist , Idugunde , jingalao, thetallest , Bia yetu YEHODAYA na wengine wengi tu,wafuatani na hao pia
 
Ni hivi mara nyingi nimekuwa niki notice matukio ya majanga siku 3 kabla au baada ya birthday ingawa sio kila mwaka.

Mwaka fulani lilitokeaga tetemeko tuko shuleni kwenye paper.
Mwaka fulani nilichezeaga kibuti
Mwaka mwingine nikajikuta nimesafiri ila usafiri ukaharibika njiani tulipata shida sana
Mwaka mwingine ukanikuta kwenye paper ngumu.
Mwaka fulani nilikosa interview muhimu
Recently
Last year ndio Covid ikatia mguu Tanzania
Mwaka huu nchi ikazizima kwa kupotelewa na kiongozi mkuu

Kuna uhusiano wowote wa kiroho na matukio hayo.
[mention]Mshana Jr [/mention]
Aise
 
Nimerejea sasa..!
Haya matukio yapo na yanawatokea wengi ila hayawi common kwakuwa
1. Wengine hayawi makubwa na ya wazi sana
2. Wengine hayawatokei kwa mfuatano wa kila mwaka
3. Wengine hawayazingatii kwakuwa hata siku zao za kuzaliwa hawazifuatilii ama kufanya sherehe
4. Haya matukio hutokea kwa kipindi chotei cha maisha ila kuna miaka hujidhihiri na kuwa na nguvu zaidi kuliko mingine

Hii inakuwaje?
Haya mambo yana asili mbili
1. Hali iliyokuwepo siku unatungwa mimba.. Je wazazi wote wawili au mmojawapo alikuwa katika hali gani? Kiafya kijamii na kiroho? Je kulikuwa/ hakukuwa na tukio lolote zuri au baya?

2. Hali iliyokuwepo siku unazaliwa na hii matukio yake ndio hukumbukwa na kuangaliwa zaidi?
. Je wazazi wote wawili walikuwa kwenye hali gani kimaelewano?
. Je mama alikuwa na changamoto zozote za kiafya?
. Je kulikuwa na matukio gani kati ya ndugu wa karibu wa pande zote mbili?

Kuzaliwa mtoto sio jambo a dharura ni jambo la maandalizi mengi.. Hivyo chochote kitakachotokea siku ya kuzaliwa huambatana na mhusika katika maisha yake yote..! Na ndio maana hapo zamani wazee wetu waliwafanyia watoto wachanga matambiko!
 
Back
Top Bottom