Lunyungu, ni jambo la kushukuru kwamba wewe upo hapa jamvini.
Umeamua kuziba hili pengo la mrengo mwingine usio wa "Breaking News". Tafadhali endelea kuvaa hivyo 'viatu'.
Wengine ambao nao wamekuwa wakiziba hili pengo kila wanapopata nafasi ni pamoja na Mwanakijiji.
Asante ndugu, Mungu awabariki!
.