Matron wa hostel anahitajika kwa usimamizi wa karibu

MADAME2017

New Member
Feb 22, 2017
2
0
Tunatangaza nafasi ya kazi ya Matroni kwa ajili ya kusimamia Hostel mpya ya wanafunzi iliyopo Ilala, Dar Es Salaam.

SIFA ZA MWOMBAJI :
- Awe Mtanzania
- Awe jinsia ya kike
- Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja katika nafasi husika
- Awe mwaminifu, nidhamu na bidii ya kazi
- Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi miaka 45
- Awe tayari kukaa (kuishi) Hostel kwa ajili ya usimamizi wa karibu

NB : Tarehe ya mwisho wa kupokea maombi ni 31st Machi 2017

Kwa wanaohitaji na waliokidhi vigezo tafadhali wasiliana nasi kupitia :
Simu : +255 743 182 874 / +255 652 139 188
Barua pepe : mounteverestilalahostel@gmail.com
 
Back
Top Bottom