Matrafik walisomea kuongoza magari tu kwenye trafik light | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matrafik walisomea kuongoza magari tu kwenye trafik light

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muzachai, Jun 17, 2009.

 1. m

  muzachai Member

  #1
  Jun 17, 2009
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hodi wakuu

  hivi matrafiki wa bongo walisomea kuongoza magari tu hawana kazi nyingine ambayo wanaweza kuifanya maana naona muda mwingi wanajishugulisha na kuongoza magari tu na waliobakia kusimamisha gari na kuomba chochote ili watoto waende choo


  HERI KUFA MASKINI UKIWA HURU KULIKO MFUNGWA TAJIRI.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jun 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hivi wanasomeaga utrafiki hao au wanavalishwa migwanda myeupe tu na kupelekwa barabarani?
   
Loading...