Dah namuona Boflo kakamatia watoto wawili kwa mpigo hapoo.....
Dah aisee mkuu unaona aiseee...mpaka ndani ya sarawili???halafu hao washkaji inaonekana kama MASHINE zao ziko sailensa flani hivii ,,Maana zilivyotuna humo kwenye Sarawili
Naikia alikua bado hajazaliwa......Umemuona MziziMkavu na naniiiii aliyeachia chuchu wazi.
Naona jamaa wa katikati anatamaa kinoma,amekamatilia midude miwili!
Naona MziziMkavu anamvutia kwanza pumzi demu wake ili avae kwanza heleni!Umemuona MziziMkavu na naniiiii aliyeachia chuchu wazi.
Teh teh teh!wakati huo ardhi ilikuwa na rutuba!!!Siyo tamaa, enzi hizo ndoa za mitara zilikuwepo sana.
So huyo jamaa anajiandalia mazingira ya baadae.