Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,072
- 7,054
Yaani kwa jinsi Mamba 24 alivyokuelezea pindi ukilewa ,nakushauri usilewe ukifanya mtoko ,pendelea kunywa ukiwa nyumbani kwako otherwise utaenda kuozea jela.Matonya amesema inamuumiza sana na siwezi kuisema kiukubwa lakini naweza kusema hiyo picha mbaya ya ubakaji ndio inaniumiza zaidi kwa kweli walioamua kuiweka hivyo au kuipanga hivyo mpaka ikanikuta nipo kwenye gereza la shimolatewa nimelaani vikali sana na Mwenyezi Mungu namuomba sana anilinde, kama ni maslai ya mtu ameyapanga mimi kwanza namuachia Mungu
Lakini nashukuru sana kwa Dua na Maombi ndugu zangu
🤣🤣🤣Yaani kwa jinsi Mamba 24 alivyokuelezea pindi ukilewa ,nakushauri usilewe ukifanya mtoko ,pendelea kunywa ukiwa nyumbani kwako otherwise utaenda kuozea jela.
Dudu hana tofauti na Internet ya Starlink, ni direct from the satellites, haina kumbwela.Ukweli wote tunao kutoka Kwa dudu baya 😁
Halafu nasikia ni bingwa wa kukimbia bill🤣🤣🤣
Jamaa akilewa anakuwa insane
Tuna mfanyakazi mwenzetu ivo ivo. Akiwa hajalewa fresh ana siri uyo. Ila akilewa friji haligandishi. Kwenye sherehe za kazini au harusi za wafanyakazi tunamzuia kabisa kugusa kilevi. Maana atasema vyote.Dudu hana tofauti na Internet ya Starlink, ni direct from the satellites, haina kumbwela.
HaswaaaAkili za baadhi ya wanaume wenzetu wa Tanzania wanafikiri wao ni superior juu ya wanawake, mifano tunayo hata humu Jamii Forums, utaona jinsi gani wanavyowaongelea wanawake. Mnapovuka mipaka ya nchi hizo tabia mziache Tanzania la sivyo mtafungwa