Matoleo ya baiskeli Tanganyika

Zile pikipiki si za serikali ni za Chama cha Mapinduzi wametoa kwenye fedha zao wenyewe unataka zisitumike kwa shughuli za Chama ni sawa na Chadema uwaambie magari M4C wasibandike nembo ya Chadema na watumie kubebea mizogo ya wananchi sokoni, pia serikali ina utaratibu wake wa kuwapa vyombo watumishi wa umma kama watendaji na ma-bwana na ma-bibi kilimo
 
Kuna utofauti gani wa ccm na Serikali ?
 
Serikali inaundwa na watu wa vyama na wasio na vyama Ccm inaunda na wana-Ccm pekee, uchaguzi uliopita Magufuli alishinda kwa kura mil 12.5 na nchi hii ina watu zaidi ya mil 60 sasa unaweza ukaona hata nusu robo hawajahusika.
Ccm ndo decision makers wa Nchi na Serikali .

Hauwezi kuitenganisha Serikali na Ccm au kinyume chake .

Wao kupitia ruzuku wanayopewa kwa mwezi kwa mwaka , hawana uwezo wa kununua Mabuss, kununua Magari ya kifahari latest cars , Kununua pikipikipiki na baiskeri .

Kama wangekuwa na uwezo huo basi wangekuwa na uwezo wa kuwalipa makatibu wao wa kata mishahara , kila mwezi na hao mabalozi wa shina .



Kinachotokea ni kuchukua hela ambayo IPO katika mfuko wa kulia na kuiweka katika mfuko wa kushoto .


Mimi naijua sio kwa kuadithiwa Ila naijua kwa ukaribu .


Piga hesabu ya Magari walionunua since 2021

Pia hesabu za Mabuss walionunua

Piga hesabu ya Mavazi na sale

Piga hesabu ya pesa wanazowalipa Wasanii


Piga hesabu ya pikipiki , na baiskeli


Hapo haujaweka mishara ya viomgozi wa juu wa chama , posho na mikutano , na hapo hapo wanafanya ziara mikutano , n.k


Ukimaliza uangalie na pesa wanayopata ya ruzuku je vinaendana au haviendani .


Hauwezi kuchukua pesa za Umma ambazo zingesaidia jamii kubwa na kujimilikisha kisa tu una hold power .

Ndo maana nimesema ugawaji na ununuaji wa baiskeli na pikipiki haukuwa sahihi .


unanunua Mubuss , then unasahu gari za mwendo kasi tu hamna.
 
Hizi ni baisikeli model gani?..🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…