Usafiri umelaanika 😁2025 model with terrific brand nameView attachment 3406297
Hii kitu phonex ilikuwa balaa kubwa, babu alikuwa nayo nikienda likizo ilikuwa kuipepeza tuu.
Baiskeli haiwezi kubeba hata tikiti halafu unabadilishana na Bandari, hivi ni akili kweli hiyo?2025 model with terrific brand nameView attachment 3406297
Bado zipo ila bei laki 3 na hazgawiwi bure na SamiaHii kitu phonex ilikuwa balaa kubwa, babu alikuwa nayo nikienda likizo ilikuwa kuipepeza tuu.
Kitambo sana hii mkuu
Hapa kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S akiwa na kaka yake wa kambo Abbas ibn Ali wakitakiana kheri kabla ya kuelekea Karbala kuulinda na kuutetea uislamu ambapo imam wetu kipenzi mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu. Zuljanah kulia.Usafiri umelaanika 😁
Watoto wangu wanazo size ila hawatumii km sisi kwenda kuchotea maji, shamba, sokoni aiseeBado zipo ila bei laki 3 na hazgawiwi bure na Samia
Ila Wasukuma!