Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

Mwaka 2006 nilitumia sana hiyo inaitwa Nokia jeneza. Wale wenye Nokia ndogo walikua wakinicheka eti simu yangu kubwa sana.
 
Mwaka 2006 nilitumia sana hiyo inaitwa Nokia jeneza. Wale wenye Nokia ndogo walikua wakinicheka eti simu yangu kubwa sana.
Zina challenge zake mtandaoni
Mara nyundo
Mara imepigwa risasi haijapenya ๐Ÿ˜‚
Nadhani ni model ya 3210
 
We ni zaidi ya shetani ๐Ÿ˜ˆ,mchawi, kigagula, WIZANGA.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
 
Best of them all, kitambo ubunifu ulikuwa mwingi sana, kila simu ilikuwa tofauti, hamuwezi kufanana. Ukiacha NOKIA, Sony Erickson, na Motorola walikuwa vizuri sana.
Ila Phillips Savy na Sagem za kifaransa walichemsha vibaya sana yale matoleo
 
Daaah kitambo Sana,
Nakumbuka sn hii nokia 5800 Xpressmusic
Enzi za symbian os
 

Attachments

  • nokia.jpeg
    7.9 KB · Views: 14
Ila Phillips Savy na Sagem za kifaransa walichemsha vibaya sana yale matoleo
Simu sura ngumu, Mzee wangu alitumia Siemens C35, badae Nokia 3310(jeneza) badae nokia N95(hii ninayo mpaka leo)

Check ilivyokuwa nzuri, simple and beautiful kuliko simu vitochi za sasa hivi.
 
Me nakumbuka kuna mwanafunzi tulikuwa tunasoma sec akaja nayo class nokia express music 5310 nikapita nayo. Daah ila 2300 alikuwa anatumia bimkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ