Nakupenda bure njia kuu, wasipojifunza hawajifunzi tena, hii ni kwa njiaa kuu wote na waige mfano
Kama ni hivi then haya malalamiko ya kuwa wanaume hatutulii ambayo yamekuwa wimbo mdomoni mwenu yanatoka wapi? Na tabia ya kuchunguza simu za Waume zenu sababu ya insecurity inatoka wapi? Kama mnajua kuwa sharing is caring then why complaining and expects us to be faithful?
Kweli nimeamini vitabu vya dini kuwa "tuishi na wanawake kwa akili",mpo complex na vigeugeu
Mnapenda wanaume wanao jitambua wakati nyie wenyewe wengi wenu hamjitambui