Matola, Oooohhhhh baby


R u ril serious?, pls niambie vidole vimeteleza,khaaaaaa
 
Hahaaa kumbe mmeamua kuchangamsha genge? Na hii pia id yako? Hivi mtu anaweza kutoka from nowhere akaamua kuweka uzi kamu huu? Mnatuchezea eeh? Wacha tuendelee kutazama

hahaha, kwa mtaji huu Lara moko atakua na ID ngapi, alishawaambia jamani haogopi mtu humu y abadili ID
 
Hahaaaa! Mbona hasira namna hio? Ni Matola tu ama? Si kwenye tittle kamtaja! Kama hupendi uliingia kufanya nini?

Umeona eeenh, kichwa cha habari chajieleza bado wahangaika watu
 
Hahaaaa nimezidiwa wapi labda btw huu uzi kumbe upo chitchat...najuta kudandia gari kwa mbele ila sema bahati nzuri sijagongwa

next time uwe mwangalifu barabarani hasa kuu, vinginevyo upite mchepuko kule watu hawana spidi hutagongwa
 

watuuuu roho zawauma, Matola mwenyewe anajua yupo na malkia wa aina gani, full confidence, kazi kwetu michepukoooo
 
Usitake kuwa peke yako ila pigana uwe namba moja,and for that Lara moko kafanikiwa.

Kwa mantiki hiyo huu uzi hauna mashiko japo mkuu Matola hajaonyesha kumkemea mleta uzi

akemee ili iweje ushaambiwa kill me soft, u how
 
Haaa lara kumbe Suprise mke mwenzio nilimuona siku mojaa kumbe tabia yake hiii ya kupenda kuibia wenziee tumemjuaa

hahaha kimyakimya mama, vita hii yahitaji kujipanga , hapa na baby tunausoma upepo wake vp
 

katutangaze, kizuri kula na wenzio, uzuri Lara 1 analijua hili
 
I have already explain everything to my wife lara 1 nayeye ni well educated na intelligent kwahiyo anajuwa chitchat ni nini.

na mimi kama mwanaume kamili siwezi kumuofend mwanamke ambaye ameanuwa kuonesha hisia zake kwangu ukweli anaujuwa my Lara.

Dats extra ordinary I nid from u
 
kwani wewe ni ndiye huyo suprise?

yeye ndo mimi, huwaoni mapovu yanawatoka wengine, almasi kama hii kuilinda peke yake hatoweza namsaidia kakubali nusu hasara
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…