Matola, Oooohhhhh baby

Nyooooooo! Nakwambia hata FREE P ya kupoozea koo hupati! Matola is MINE ONLY! Baby tell them!
 
Last edited by a moderator:

mmmmhh! Mwanawee! mbona unawaka??
 

Hahaaaaaa! Naona povu lakutoka nusura ya kukata roho! SASA MATOLA KAFANYAJE HAPA.? Kwa mbinu za KIVITA sikuwezi, kufunguka huwezi wabakia kutapa tapa, mie ndo nammiliki!
 
Hahaaaaaa! Naona povu lakutoka nusura ya kukata roho! SASA MATOLA KAFANYAJE HAPA.? Kwa mbinu za KIVITA sikuwezi, kufunguka huwezi wabakia kutapa tapa, mie ndo nammiliki!

baby nilikuwa nasubili uwaeleze you're the one and only, you mean everything to me
 
Hahaaaaaa! Naona povu lakutoka nusura ya kukata roho! SASA MATOLA KAFANYAJE HAPA.? Kwa mbinu za KIVITA sikuwezi, kufunguka huwezi wabakia kutapa tapa, mie ndo nammiliki!

Hahaaa kumbe mmeamua kuchangamsha genge? Na hii pia id yako? Hivi mtu anaweza kutoka from nowhere akaamua kuweka uzi kamu huu? Mnatuchezea eeh? Wacha tuendelee kutazama
 
Hahaaa kumbe mmeamua kuchangamsha genge? Na hii pia id yako? Hivi mtu anaweza kutoka from nowhere akaamua kuweka uzi kamu huu? Mnatuchezea eeh? Wacha tuendelee kutazama

Hahaaaaaaaa! NAKURUHUSU MUULIZE MODES YEYOTE KAMA HII ID YANGU AKISEMA. NDIO NAJIUZULU RASMI JF!

MBONA MNA HASIRA KIASI HIKO? Suprise kaamua kutoa yake ya moyoni kwani DHAMBI? Embu msilete double standards humu! Mtu yeyote anapost chechote!

MY BABY NI MWANAUME WA HAJAAAA! WATU KIBAO WANAMTOLEA MACHO SIHITAJI ANOTHER ID!

CC Paw, Roulette, meezy na moderator yeyote yule aichunguze hio IP IDRESS!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa nimezidiwa wapi labda btw huu uzi kumbe upo chitchat...najuta kudandia gari kwa mbele ila sema bahati nzuri sijagongwa
Penzi kikohozi kulificha HAIWEZEKANI! Panic imekuisha unajikosha kosha! HAHAHAAAAA!
 

Iwe yako isiwe yako ni wewe tu mama kwani bando nakupa mimi hadi nianze kukufuatilia una id ngapi??
 
Last edited by a moderator:
Iwe yako isiwe yako ni wewe tu mama kwani bando nakupa mimi hadi nianze kukufuatilia una id ngapi??
Si umeuliza "NA HII PIA ID YANGU?" Ndo nimekujibu SIO KWA KUJIAMINI KABISAA!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…