Matokeo yangu ya Darala la saba

Matokeo yangu ya Darala la saba

Ata sisi tumesoma Rutabo ila tumetobowa kuliko ata waliosoma Tabora Boys. Rutabo sec hapa darasa la 2003- 2006
Hiyo sawa lakini kipindi kile lilikuwa ni suala la kifamilia hata wazee wanaguswa sasahivi ni lazima usome tu shule za kata na wanafaulu hata aina yao ya mitihani ni rahisi. Hesabu ni multiple choice
 
Ata sisi tumesoma Rutabo ila tumetobowa kuliko ata waliosoma Tabora Boys. Rutabo sec hapa darasa la 2003- 2006
Sijazungumzia suala la kutoboa maisha kuna ambao hata darasa la kwanza hawajaligusa wametoboa maisha kuliko hata ambaye ni profesa. Nazungumzia zile hisia za kupokea matokeo not otherwise. Ila hongera kwa kutoboa.
 
Ulikuwa utaki kuchaguliwa Rutabo kisa wanaochaguliwa Rutabo ni viraza au? Anyway umesoma primary gani? ?
 
Kamachumu A malengo yangu hayakuwa kusomea hapohapo nyumbani nilitaka nikasome shule za mbali na ilitimia.
 
Itakuwa public kama sijakosea. Sema bwana mm niliamia kutoka bukoba mjini nikiwa form two ila wanafunzi waliokuwa wanatoka kule chini kagabiro, makongora na ruhanga walikuwa vichwa sijawai kuona.
Kamachumu A malengo yangu hayakuwa kusomea hapohapo nyumbani nilitaka nikasome shule za mbali na ilitimia.
 
Matokeo yanamsisimko kwawanaowahusu Sasa wewe yatakusisimua nini wakati huna hata mtoto wala rafiki aliyemaliza darasa lasaba?
 
Ninaishi na jamii siishi porini na nimekuwa mwalimu so ninaelewa hicho kitu.
 
Amini nachokwambia mkuu, Jana kuna mzazi kanifata mzobemzobe nimchekie matokeo yamtoto wake nandio nikajua kama yametoka. Nahuyu mzazi alikuwa nahisia kwasababu anamtoto ambaye kamaliza hilo darasa naangekuwa hana mtoto aliyemaliza hilo darasa sidhani kama angekuwa hata na taarifa kama kuna matokeo yametoka
 
Hahaaaa imebidi nicheke eti mzobemzobe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilivopata matokeo ya form six nililia sana. Sikuamini kama ningefauli. Nilikumbuka mishe za kupiga mapindi mchikichini yani ndo machozi yalizidi kunitoka. Kusoma shule ya serikali tena day sio lele mama.
 
Yaani 2004 ndio anasema kulikuwa na msisimuko wa matokeo ya STD ?

He must be kidding
 
Hahaaaa imebidi nicheke eti mzobemzobe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] me nimemaliza shule yamsingi kipindi ambacho wanafunzi darasa Zima wanafaulu au hata wakifeli basi hawafiki 10

Sikupingi ndugu yangu nakumbuka broo wangu kwenye darasa Lao lawanafunzi 200 walifaulu wawili2. So kwasasa hakuna maajabu yamatokeo yadarasa lasaba
 
Hahaha hahaha
Kutoka matokeo ya kubandika ...kuyafata wilayani...mbka kiganjani kwenye simu ,iPad,Mara kampluta ...lazima utamu upungue
 
Miaka haifanani... Siku hizi mitoto yenyewe hata ikifeli inajua itaenda private...

Wazazi wenyewe wanaanza ku-book shule za private kwa watoto wao mapema...

Cc: mahondaw
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] me nimemaliza shule yamsingi kipindi ambacho wanafunzi darasa Zima wanafaulu au hata wakifeli basi hawafiki 10

Sikupingi ndugu yangu nakumbuka broo wangu kwenye darasa Lao lawanafunzi 200 walifaulu wawili2. So kwasasa hakuna maajabu yamatokeo yadarasa lasaba
Hapo sawa na mimi ndio ninachokisema sisi kupindi kile kuna shule hachaguliwi hata mmoja kwenda sekondari. Ila sasa hivi shule kibao ndio maana hata ile pressure ya matokeo siyo kubwa kama zamani. Inaweza kuwepo lakini ni kwa asilimia chache ya wazazi
 
Back
Top Bottom