Mi nmejiajiri mkuu, naongea Kwa ajili ya vijana, Sina chuki yoyote na magu, anayo mazuri yake Mengi, Ila icho kitengo alinibugi sana
Umeongea point kaka tena sanaaa alitengeneza ombwe la ajira kubwa ingawa wazo lilikua sahihi wakati huo na COVI9 nayo imechangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…