Matokeo ya udiwani kata 23 (Oktoba 2, 2011)

Matokeo ya udiwani kata 23 (Oktoba 2, 2011)

BRAVOOOOOOOO! People's Powwwwwweeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
Uchaguzi wa Diwani kata ya Nzovwe uliofanyika leo, baada ya Diwani wa Chadema kulaghaiwa na kujiunga na CCM matokeo yapo tayari kwa vituo vyote. Bila kuwa na takwimu sahihi wanachama na wapenzi wa Chadema wameanza maandamano ya shangwe jioni hii. Ikumbukwe ya kwamba diwani aliyejiondoa Chadema na kwenda CCM akiwa na aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa bwn. Shitambala.
 
Nguvu ya umma siku zote haina mpinzani. Hongera cdm kwa kusafisha njia ya kuelekea 2015 tutakapoking'oa chama mfu cha magamba.
 
Nguvu ya umma siku zote haina mpinzani. Hizo ni rasharasha za 2015. Magamba kaeni chonjo.
 
Nampongeza Diwani mteule wa Chadema. Tutashinda kwa nguvu ya umma (people's Powerrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!)
 
Wakuu...wakati tukisubiri dakika tu ili CHADEMA itangazwe rasmi kama washindi wa ubunge IGUNGA tayari mgombea wa udiwani wa chadema kata ya masekelo manispaa ya shinyanga bw.MFUKO ametangazwa mshindi wa kata hiyo iliyoachwa wazi na marehemu shelembi magadula kwa kujinyakulia kura 1501 dhidi ya 587 za mgombea wa CCm bi rashida rajamu..
Kwa matokeo hayo ya zaidi ya 72% chadema imefanikiwa kutetea kiti chake kwa ushindi wa kimbunga..
Kazi kwenu magamba..
Nawasilisha

Namshukuru Mungu wa Mbinguni kwa mapenzi yako mema kwa Watanzania.
 
Asante sana Mungu azidi kusikia sala zetu tunaomba mdudu ccm utawala wake ufutike kabisa tanzania maana watawala wanayotutendea wananchi ni aibu
 
Sifa za pekee kwa makamanda waliosimama kidete mpaka ushindi unapatikana...peopleee..
 
Back
Top Bottom