DOCTOR wa Ukweli Mwenyewe Mwenyewe,
Freeman Mbowe, Mzee wa Jeshi la Anga, Kamanda Regia, Kamanda Zitto Kabwe ... Mzee Ndesamburo, Mr II; chonde tunaomba muelewe ya kwamba Wa-Tanzania kote nchini tumedhamiria kuwakabidhini DOLA kuongoza nchi hii wakati wowote ule.
Kama hamuamini bado basi angalieni tulivyoanza kwa kuwapeni idadi ya MADIWANI wa kumwaga kote nchini. Ndio kama hivyo tumeanza kuwakunjisha jamvi CCM taratibu tukianza na upande wa serikali za mitaa na kuja kumalizia kabisa kwenye kuchekecha Bunge zima na kufukuzilia mbali wala-rushwa wote na wale wachapa usingizi.
Pipozzzzzzzzzzzz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!