Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Mabadiliko ya kweli huletwa na watu wenye nia ya kweli na ya mabadiliko. Mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko kwa Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake Mungu Ibariki Afrika na watu wake
 
WanaChadema mtapigwa butwaa mtakapopata matokeo ya mikoa ya Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Iringa, Morogoro na maeneo ya vijijini nchi nzima.

Mtapigwa ganzi, msiamini kinachotokea
Mawakala -dotcom generation wanalalamika kutopewa posho lao kama walivyoahidia, hii ni ishara nyingine ya vijana kutokubaliana na uchakachuaji wa kiulaini. Hii inanikumbusha wimbo wa Prof Jay _ Siyo Mzee!
 
Kwa tafsiri rahisi ni hii hapa
Urais:

CCM – 27 = 15.6%
CHADEMA - 142 = 82.5%
CUF – 3 = 1.7%

Jumla: 172

Ubunge:

CCM – 22 = 12.9%
CHADEMA – 142 = 83.5%
CUF - 6 = 3.5%

Jumla: 170
UDSM safi sana
 
Waungwana naomba tunapoleta matokeo tujitahidi kuyafikisha yakiwa na hata majina ya vituo badala ya namba tu ambazo zipo uchi maana zinakuwa zinachanganya sana kama ni mtu unayefuatilia kwa makini.
 
Back
Top Bottom