Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Kiite utakavyo lakini matokeo ndio hayo. Nahisi ujayapenda.
Acha pressure mkuu, hebu angalia posti zangu ndio uanze kuni-judge, hapo mahala pameshapoteza credibility yake siku nyingi na hili halihusiani na matokeo...
 
Kwa tafsiri rahisi ni hii hapa
Urais:

CCM – 27 = 15.6%
CHADEMA - 142 = 82.5%
CUF – 3 = 1.7%

Jumla: 172

Ubunge:

CCM – 22 = 12.9%
CHADEMA – 142 = 83.5%
CUF - 6 = 3.5%

Jumla: 170
UDSM safi sana

Ninaanza kuona majigambo ya CCM yalikuwa ni tabiri kwa Chadema
 
WanaChadema mtapigwa butwaa mtakapopata matokeo ya mikoa ya Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Iringa, Morogoro na maeneo ya vijijini nchi nzima.

Mtapigwa ganzi, msiamini kinachotokea
Nimewasiliana na ndugu zangu walioko kijijini na wameonyesha kuwa kuna mwamko mkubwa akati huu uchaguzi. Usidhani hali iko kama unavyofikiri.

Subiri utaniambia
 
Safi sana,

Mwenye taarifa nyingine namna hii aturushie. Kipekee ningependa kuona matokeo ya awali ya SAUT ambako chuo kiko on
 
Hizi turn out ndogo ni balaa kwa slaa maana wakati wa kujumlisha ni kumwongezea JK idadi ambayo haikupiga kura simple!

Kwa nini ndogo?
Watu wamekata tamaa na JK
Wengine wanajua ccm mabingwa wa kuchakachua so votes wont count
Nasikia sehemu nyingine wanaume wamejua udhaifu wa kiumbe jike na kupiga ribiti..so simple!
 
Kama alivyosema memba mmoja, kulikuwa na vituo vitatu pale mlimani. Haya matokeo ni kituo kipi?
Mleta habari tafadhali fafanua.
 
Kama wanafunzi wangekuwepo ingekuwa kiama kikubwa. CCM walishafanya tathmini wakagundua itakula kwao. Hata hivyo, Mungu si athuman itakula kwao vile vile.
 
WanaChadema mtapigwa butwaa mtakapopata matokeo ya mikoa ya Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Iringa, Morogoro na maeneo ya vijijini nchi nzima.

Mtapigwa ganzi, msiamini kinachotokea
Nimewasiliana na ndugu zangu walioko kijijini na wameonyesha kuwa kuna mwamko mkubwa akati huu uchaguzi. Usidhani hali iko kama unavyofikiri.

Subiri utaniambia
 
WanaChadema mtapigwa butwaa mtakapopata matokeo ya mikoa ya Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Iringa, Morogoro na maeneo ya vijijini nchi nzima.

Mtapigwa ganzi, msiamini kinachotokea

Hebu acha na wewe kujifanya shekhe yahaya.
Subiri matokeo ... usiwe na kiherehere. Vyovyote yatakavyokuja tutayapokea!
 
Back
Top Bottom