Matokeo ya uchaguzi kuwakilishwa NEC kwa internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya uchaguzi kuwakilishwa NEC kwa internet

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Oct 7, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  UNDP wametoa msaada wa kuwakilisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa internet; ndio maana MwanaHalisi 5/10/2010 wamebaini mbinu ya CCM ya kupeleka wataalamu wa IT NEC. Naomba kujua ni namna gani haya matokeo yatapelekwa NEC hasa ya Urais? Pia wabunge na madiwani?

  Nilisoma kwenye moja ya magazeti ya Mtanzania kuwa yataenda NEC mara baada ya kuhesabiwa na kuwa posted kwenye mtandao, je ni mtandao upi?

  Naomba NEC watuambie ni software package gani wanatumia kwenye ku-compile hayo matokeo hasa ya Urais? je, ni licensed au locally made? Je, ni open source? Kama ni locally made au open source basi source code yake inaweza kufikiwa na hao wataalamu wa IT basi haifai, kwani chakachua ni rahisi sana hapo!

  Kama ni licensed na source code yake haitakiwi kufikiwa na client basi hiyo ni bomba sana. Kama posting ikifanyika, say, Kigoma; moja kwa moja data zinang'aa kwenye website na pia kuingia kwenye database usalama wa kura ni wa kutosha yaani chakachua ni ngumu kwa sababu posted data lazima ziandikiwe code ya kutokuwa na function yoyote kama delete, edit, update na kadharika.

  Chakachua inaweza kufanywa kwa kubadilisha ripoti za hiyo database baada ya kuzi-print. Ninamuomba Jaji Lewis atangaze matokeo baada ya ku-produce hiyo ripoti kwenye screen na sio printed hili wote tuone kama ilivyo, si ndio uwazi wenyewe huo!

  NEC tunaomba mrudishe links za voting na counting votes kwenye tovuti yenu.

  Wanaohesabu kura wanaajiriwa na wakurugenzi wa manispaa kwa niaba ya NEC, kinondoni nafasi hzio zilitangazwa, je kwengine wamepatikana vipi? Au ndio hao wa Mkandara? Vyama pinzani ombeni demonstation ya namna matokeo yanavyotumwa kwa internet na display yake kwenye kompyuta kabla ya zoezi lenyewe. Trial hii ioneshwe kwenye luninga basi! NEC wakikataa basi, chakachua itafanyika.

  Na katika mafunzo mafupi ya mawakala, suala hili la internet lioneshwe vizuri, maanake wasije kutumia illiteracy ya kompyuta kutuibia au kuwa babaisha mawakala wa vyama pinzani. Kwenye lile tangazo la kazi la kusimamia uchaguzi hakukuwa na sifa ya kujua kompyuta na internet sasa sijui itakuwaje jamani!
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  UNDP wapo sahii kama tu NEC haitatumia mbinu zao chafu kuchakachua matokeo
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Walim wa tanzania ndo haswaa hao wahesabuji a.k.a. wasimamizi wa vituo. Je wanajua ABC za network?
  Kama UNDP hawatosimamia vizuri utekelezaji wa hii project kuna wasiwasi kutokea mtafaruku.
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  NEC watupe majibu kwa maswali haya ya kimsingi wasikae kimya hata kidogo:-

   
 5. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,426
  Trophy Points: 280
  NEC wasipokuwa makini wanaweza kusababisha amani kutoweka
   
 6. h

  hagonga Senior Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunahitaji Demostration kabla ya uchaguzi, ili vyama vyote viridhike na hiyo software
   
 7. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kwanini sasa..wangeitumia njia hii haswa katika chaguzi ndogo zilizopita..
  Hapa kuna dalili mbaya..
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Wangetuma kwa njia ya SCANNING kama ilivyo Super Markets ili kama kuna lalamiko source document ya kutoka kituo cha kura ionekana kabisa
   
 9. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,241
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  Habari hii ni muhimu kwa wapenda maendeleo wengi, tupe mwanga kidogo Gazeti la Mtanzania la lini?
   
 10. K

  Kifoi JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: May 12, 2007
  Messages: 836
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  NEC ni MI CCM tu Hakuna lolote ni wiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tu
   
 11. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  vyama vya siasa vipinge utaratibu huu kama haufai au viombe ufafanuzi zaidi kuhusu usalama wake.watu wa IT naomba mtusaidie
   
 12. D

  Deo JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,191
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Waalimu wameachwa, wanachukua vijana wadogo waliomaliza shule, tena lazima watoke/wamejiandikisha kwenye kata hiyo hiyo watakayo simamamia. Waalimu labda wameonekana siyo rahisi kutishwa.

  Je transparency haiwezi haiwezi kuwa pre condition ya UNDP?

  Miraji & Co wamewahi kazi nini? Je network ya NEC itakuwa interrupted na hawa? Hii ifanyiwe kazi
   
 13. e

  emalau JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mwanahalisi ya jana ilituonya dhidi ya wataalamu wa IT wanaolipwa milioni 46 kwa siku wakijiandaa na uchakachuaji, usikute ndo hao wamelamba kazi. Jamani tutaibiwa mchana kweupe kama akina mMiraji ndo washika dau !
   
 14. epigenetics

  epigenetics JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2010
  Joined: May 25, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kuna timu imetumia platform ya USHAHIDI kuwawezesha wapiga kura kutoa ripoti za uchaguzi... Bofya hapa: TZelect
   
 15. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa software gani inatakiwa ku-compile matokeo ya uchaguzi? Software gani inayotumiwa kutuma matokeo ya uchaguzi kupitia Internet? Duh huyo anayejifanya anajua mambo ya software na hata kushauri matokeo yatangazwe kwa kusoma kwenye "screen" badala ya ku-print matokeo anaonyesha jamaa linasoma IT lakini linatumia muda mwingi kukariri badala ya kuelewa how things work! Kaanze na kitabu cha introduction to computers uanze na "input" na "output" devices. Duh kazi kweri kweri! :A S 13:
   
Loading...