- Thread starter
- #61
Hii kweli ni michezoSasa mna shangaa nini wakati hata last time matokeo yao yalikuwa hivi hivi, walicho fanya saiv ni kuchelewesha tu muone kama wame sahisha kweli teh teh
Hii kweli ni michezoSasa mna shangaa nini wakati hata last time matokeo yao yalikuwa hivi hivi, walicho fanya saiv ni kuchelewesha tu muone kama wame sahisha kweli teh teh
Broo!! We GeniusMkiambiwa no reform no election ndo kama hivyo.
Haki ni jambo la msingi sana. Linakupa amani ya moyo kama ni majuto unabaki nayo mwenyewe.
Fikiria kama uchaguzi unafanyika kwa haki wananchi wanampata kiongozi hovyo, msala unakuwa wao wenyewe.
Apptitude test ndo mpango. Hizo mnaweza fanya hata 5 kuchuja watu.
Weka kitu online kila mtu akiingia afanye na kupata scores zake anatulia. Unaiacha open kwa siku 2 tu. Ndani ya wiki mmeshapiga michujo yenu sasa mnakuja kuwakamua kwenye oral.
Hawataki ushahidWashaichoma
Wanatuweka roho juu utafikiri kweli vileSahihi yaani wanakuwa wanawachora tu kumbe list ipo tayari.
Hao ndo wale wale weweeeeee!!Kawaida tu. Mbona hata interview za utumishi mfano za walimu ulikuwa unakuta zaidi ya page 50 candidates wote wamepata alama 60. Mfano tafuta matokeo ya walimu wa kiswahili bachelor
Ni kamzozo arifuTunaoumia ni sisi, ila wao they don't care
Mimi kilichoniacha mdomo wazi mpaka sasa hivi..Ule kwa Jinsi ulivyokuwa mwepesi niliamini hakuna ambae angenikaribia hata kidogo..
Lakin meza Jinsi walivyoipindua daaah hatari tupu.
Yaani mpka mtu unabaki unashangaa
Kwamba ule mtihani wa Tax management ulikuwa mgumu sana kiasi kwamba hakuna aliyefikisha 90 kati ya watu 22,000? hakika ule ni uhuni na sio usahihishaji.Sina imani na wasahihishaji wa ule mtihani...paper haikuwa ngumu ila matokeo sasa.
Sahihi kabisa, wapinzani wanataka tupelekwe pelekwe kama nyumbuShida sio kuunga mkono, shida ni hawajaitolea maelezo ni kitu gani na Ina faida gani kwetu
Tunawachekea sana hawa watu.. naona Kam hatujawa seriousMimi kilichoniacha mdomo wazi mpaka sasa hivi..
Ni kwamba jamaa aliyekuwa ananiangalizia mimi karibu kila swali amefaulu tena kapata 53
Wakati huo mimi hapa kipanga wake nimapata alama 45.
Hii inaleta maswali kama kweli huu mtihani walisahihisha.
Tena True and FalseKwamba ule mtihani wa Tax management ulikuwa mgumu sana kiasi kwamba hakuna aliyefikisha 90 kati ya watu 22,000? hakika ule ni uhuni na sio usahihishaji.
Waweke hoja mezani! Sio wakiamka na jambo basi wanataka tulishabikie!Sahihi kabisa, wapinzani wanataka tupelekwe pelekwe kama nyumbu
Endeleeni kulalamika tu siku mkichoka mrudi kuikomboa nchi yenu.Kutokana na uchunguzi wangu mdogo kwenye PDF ya MATOKEO ya TRA, hasa kweny upande wa Custom II, Kuna vitu vimenipa maswali mengi
1. Kwa Jinsi maksi zilivyopangwa ni ngumu mtu kupata 43, au 42.4.
Kwasababu mtihani ulikuwa na maswali matatu ambayo kimsingi huwezi pata hizo maksi na majibu yalikuwa ni direct ukikosa umekosa au ukipata umepata haiwezekani ukapata hizo point
2. Watu wengi kuwa na maksi zinazofanana. Kiuhalisia nashindwa kuelewa inakuwaje watu zaid ya 300 wote wamepata 45.5 au 41
Hapa walimu mnisaidie inawezekana kweli watu kuwa wanafanana fanana kweny maksi
Yaani unakuta listi ndefu ndefu wote mmefanana zaidi ya watu 300. Hilo kwangu ni impossible
3. Range ya watu kufanana maksi inaenda inazid kulingana na kuwa amechaguliwa au hapana.
Mfano: watu ambao wanamaksi za juu kweny hio PDF wanaofanana maksi ni wachache, unaweza Kuta hawazidi kadhaa, lakin wanaofanana maksi wanazidi kuongezeka kulingana na kutochaguliwa kwao.
Utakuta ambao hawajachaguliwa watu zaid ya 258, au mpaka watu 300 wote wamepata 41 na hio interval inazid ongezeka kadili watu wanavyokuwa hawajachaguliwa na maksi zao kuwa ndogo
4. ili kila mtu aridhike ingekuwa heri mchakato huu ukawa computarize yaani watu wajibie maswali mtandaoni na maksi zake azipatie palepale, mchakato huu uwe huru na uwazi.
Au wangemtumia kila mtu PDF ya mtihani wake alioufanya ili mtu asiwe na maswali na wao. Hii ingesaidia Kama mtu kanyimwa maksi makusudi au ni uzembe wake.
Sasa wakifanya kila kitu Gizani Kuna maana gani ya kuwepo na mtihani ambao unapewa maksi uliopata na sio kujua wapi ulipokosea
Nna uhakika hata alietunga huo mtihani wa custom officer II, angeenda aufanye kimya kimya matokeo yake angekuwa huko kwenye 42.4
Bunda la wananchi tamu sana.Wasomi punguzeni malalamishi, mko wengi mnataka wote mpewe ajira?, hilo suala lishaisha endeleeni na mambo mengine, haitatokea siku ambayo serikali itamfuraisha kila mtu, sahau kuhusu hilo.
Mitego lazima iwepo ili mchujwe wabaki watu wanaowataka wao, kuendelea kulalamika sio solution bali kudai mabadiriko kupitia mifumo mipya ya elimu ya kuwatoa ktk hilo giza la kulilia ajira.
Anyway mitaani kazi nyingi hamzitaki, mnataka wote mjazane maofisini ili mukwapue kodi za wananchi😅.
Tafuteni skills&maarifa mapya acheni utumwa wa kulilia viajira vya kuutweza utu wenu.
Oya hii imenitokea na mm alieniangaliazia kapata 75.5 mm kipanga wake nimepata 67.5😅Mimi kilichoniacha mdomo wazi mpaka sasa hivi..
Ni kwamba jamaa aliyekuwa ananiangalizia mimi karibu kila swali amefaulu tena kapata 53
Wakati huo mimi hapa kipanga wake nimapata alama 45.
Hii inaleta maswali kama kweli huu mtihani walisahihisha.
Nafuuu hata umepewa neno (AMECHAGULIWA)Oya hii imenitokea na mm alieniangaliazia kapata 75.5 mm kipanga wake nimepata 67.5😅
Kwani Mitihani wanarudisha? Wangekuwa wanarudisha hata kwa form ya PDF ninge utuma hapaweka hapa huo mtihani tuuone
Daaah Aya bhnBunda la wananchi tamu sana.
Kuikomboa aje sasa! Kwan Kuna ukoloni MzeeEndeleeni kulalamika tu siku mkichoka mrudi kuikomboa nchi yenu.