Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,910
- 7,766
Idadi ya Watanzania tunaelekea kuwa milioni 50!.
Matokeo rasmi kutangazwa na JK siku ya Jumatatu, tarehe 31/12/2012.
Idadi ya wenye sifa za kupiga kura ni Milioni 30!.
Watajiandikisha watu milioni 25!.
Watakaopiga kura ni Milioni 12 tuu.
CCM ina wanachama milioni 6 na wote watapiga kura!.
Hizo kura milioni 6 nyingine, ndizo vyama vingine vyote vitagawana!.
Hivyo matokeo ya awali ya uchaguzi wa 2015 ndio haya!.
NB. Idadi ya watakaojiandikisha na watakaojitokeza kupiga kura, inaweza kubadilika kufuatia uhamasishaji!. Hili likifanyika, matokeo yanaweza kubadilika, ila piga ua galagaza, CCM itaingia kwenye uchaguzi, ikiwa tayari na mtaji wa kura zake milioni 6!.
P.
Mkuu hayo ya ccm na vikorombwezo ulivyoviweka umeulizwa na nani? Sisi tuko interested na matokeo ya sensa tu..