kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 3,253
- 4,820
Hakuna uwekezaji wa maana sana katika masomo ya sayansi hapa nchini!Kwa mtazamo wangu sayansi inahitaji vitu vingi sana kwaajili na ni gharama sana hawa watoto hawafanyi majaribio ya kutosha kwakua hakuna hivyo vifaa pamoja na chemicals!
Haitaishia hapa hii mwakani itakuwa mbaya zaidi kwani licha ya vifaa walimu pia ni wachache mno na wengi wameenda private schools kwa maslahi zaidi!
Tunapenda sana mteremko hii nchi!Watawala wengi pamoja na wakuu wa shule ni arts hawawezi kuipa sayansi kipaombele hata siku moja hivyo semina juu ya umuhimu wa sayansi inatakiwa kwao au vipi mtoa hoja!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums