Matokeo ya Ngumi za leo kati ya Kidunda na Msouth yanatia aibu, Kidunda kabebwa

Labda ni agizo kutoka juu!
Tyson aliwahi kupoteza pambano
Muhamed Ali aliwahi kupoteza pambano

Sababu ni kupigwa mpaka kukaa chini na kuhesabiwa pia kushambuliwa ngumi za hapa na pale na kutolewa maamuzi ya Majaji yanayofahamika km 'unanimous decision' (UD) mwisho wa pambano, kujua zaidi jifunze unanimous decision ni nini? Wengi hawajui ndio maana wanalaumu

Soma hapa
 
Mpwa ukiangushwa chini na kuhesabiwa.
Wewe unaelewa ukiangushwa ukihesabiwa kwisha habari yako 'unanimous decision' inakuhusu mwisho wa pambano lazima upoteze pambano sababu ukiangushwa ukihesabiwa unaepigana nae anachukua point nyingi kukuzidi kwenye hio round au kwenye kila round atakayokupiga mpaka kukuangusha anachukua points
 
kidunda kaenda chini mara mbili kama mwenzake
Issue sio kwenda chini issue ni kwenda chini na kuhesabiwa 1, 2 & 3 mpaka unanyanyuka unaulizwa na refarii vipi upo vizuri kuendelea na mpambano? unasema ndio tuendelee au unaomba kutokuendelea Ila ukiangushwa ukainuka mwenyewe haraka hio haina madhara,
 
Dogo skudu ni pure professional boxing anajua anachokifanya, anajua kuusoma mchezo, ana mbinu zote za kupambana na mpinzani wake, anabadilika kulingana na mpinzani anavyokuja.

Jabu yake ndo siraha kubwa na wapinzani wake wote aliokutana nao wameshindwa kumsoma vzr.huyu labda acheze na mwakinyo ndo kwa hapa Tanzania anaweza kucheza game ki-professinal.
 
Kidunda nusu auwawe
 
Nikelekwa sana ngumi ni mchezo wa wazi cha ajabu malefa wanatoa mahamuzi ya ajabu apo ndio watanzania tunapofel tunapenda uwezo atuna tnapenda kubebwa bebwa tu kidunda kapgwa tena kama mtoto
Mbona tatu malogo anafanya hivyo live huku mnashangilia? Sikuona hiyo mechi lakini kwa wengi wasemavyo, ni kweli jamaa amepigika.
 
Wewe unaelewa ukiangushwa ukihesabiwa kwisha habari yako 'unanimous decision' inakuhusu mwisho wa pambano lazima upoteze pambano sababu ukiangushwa ukihesabiwa unaepigana nae anachukua point nyingi kukuzidi kwenye hio round au kwenye kila round atakayokupiga mpaka kukuangusha anachukua points
Basi Mpwa, sio ugomvi, asante Kwa kunielewesha japo kwa ukali. Yaishe, Sabato njema na kila la heri kwa Simba
 
Simba limkute la kumkuta leo ili tuheshimiane
Wacha Kwanza Niko na Watani Zangu
IMG-20240302-WA0004.jpg
 
Namshauri Kidunda aache ngumi , amekwisha , akiendelea atadhalilisha jeshi letu , na ikibidi astaafishwe kinguvu

Hatuwezi kuendelea kubebwa kibwege namna hii

Kingine ni hiki , wanajeshi kuja na magwanda na mabuti walitaka kumtisha nani ? siku wakija na makombora mtaendelea kunyamaza ? huu ndio uzalendo wa wapi ?

View attachment 2921901
Tanzania ni ovyo sana na kutia aibu!mtu kachapika namna ile halafu mnasema eti draw!hakuna draw yoyote!KIDUNDA kachapika sana!upuuzi mtupu!PUMBAF KABISA
 
Namshauri Kidunda aache ngumi , amekwisha , akiendelea atadhalilisha jeshi letu , na ikibidi astaafishwe kinguvu

Hatuwezi kuendelea kubebwa kibwege namna hii

Kingine ni hiki , wanajeshi kuja na magwanda na mabuti walitaka kumtisha nani ? siku wakija na makombora mtaendelea kunyamaza ? huu ndio uzalendo wa wapi ?

View attachment 2921901
Kwani kidunda ni CCM?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom