Jamani mwenye taarifa yoyote kuhusu matokeo ya bodi ya ya uhasibu naomba atujuze jaman tuone tulichovuna .
asante.
asante.
Napenda kuwataarifu kuwa orodha ya wanafunzi waliofaulu CPA imebandikwa kwenye mbao za matangazo NBAA na matokeo kamili yatakuwa yamewekwa kwenye web kufikia kesho asubuhi.Hongereni kwa mliofaulu na wale ambao hamjafaulu msikate tamaa.
Nawasilisha