Matokeo ya NACTE yametoka?

Duuh!
Watu Wa NACTE Punguzeni Mshono Bhasi.
 
Leo tarehe 2 mwezi wa kumi,niko hapa chuo fulani dsm,wananiambia nacte hawajatoa majina mpaka sasa.
Kweli nacte ni wababaishaji na wanafanya kazi kwa mazoea
 
jamani naomba kuuliza kwa ualimu diploma kwa matokeo haya form six 2014 physics_E
chemistry_D
biology_C

je naweza kupata nafasi ualimu wa sayansi diploma?
Mbona hata Degree unapata hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…