Matokeo ya mtihani wa Darasa la saba aliofanya mwanangu,yana alama ya 'W'. Naomba kujua tafsiri yake

Nascoba

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
310
160
Katika shule aliyofanya mtihani mtoto wangu.
Kati ya wanafunzi 180 waliofanya mtihani ni wanafunzi 67 tu ambao matokeo yao yametoka,waliobaki unakutana na alama ya nyota kisha w,nini tafsiri yake?
 
Shule gan?

Nahisi harufu ya Udanganyifu ..muulize lbd walipewa majbu mchezo uka ungua
 
Katika shule aliyofanya mtihani mtoto wangu.
Kati ya wanafunzi 180 waliofanya mtihani ni wanafunzi 67 tu ambao matokeo yao yametoka,waliobaki unakutana na alama ya nyota kisha w,nini tafsiri yake?
*W ni Withhold/withheld yaani yamezuiliwa.
 
Katika shule aliyofanya mtihani mtoto wangu.
Kati ya wanafunzi 180 waliofanya mtihani ni wanafunzi 67 tu ambao matokeo yao yametoka,waliobaki unakutana na alama ya nyota kisha w,nini tafsiri yake?

Mkuu tupe mrejesho
 
Miaka Mingi Imepita Hii Thread, Vp Mleta Mada Rejea Kwa Kilichoendelea Huko
 
Back
Top Bottom