ndugu zangu embu rudini kihistoria, ktk idara zote Lowassa alizokuwepo, zimekuwa zikienedelea, remember hata wakati akiwa wizara ya ardhi nyumba na maendeleo mijini. watu walipata nafasi ya kununua nyumba za NHC na kuziendeleza. je hayo si maendeleo? msiangalie tu upande mmoja. bt what benefits us at the end of the day. anaweza kuwa anakula kidogo japo sina uhakika lakini at the end of the day kama tunaona matunda why not? zaidi ya wale wengine blablabla kazi kuchunguza ya wengine ili kujinadi wao wenyewe wkt strategy mbovu. hawana lololote zaidi ya kutuacha wote including wao wenyewe kwenye umaskini. hata hivyo wanasiasa karibu wote wapo hivyo2.
Ile skendo ya lowassa mpaka leo haijakaa vizuri, inaonekana kulikuwa na mizengwe kibao. wivu na mambo kede kede. kwanza ile njaa ilipotokea Lowassa alikuwa all over tanzania kuhakikisha vyakula vya msaada vinawafikia walengwa. hiyo tayari kunaonesha upendo alionao kwa watu wake. jengo lile lipoangua kabla halijaisha alitake action very fast. hiyo ilianza kuleta chuki na uhasama kwa wale wavivu na wasio chapa kazi na ndo maana wakatafuta vijisababu vya kumshambulia. Tunge mpa muda tunge ona matokeo yake. tangu aondoke madarakani yuku wapi huyo aliendeleza ule mradi? mbona hakupewa nafasi ya kutoa maelezo juu ya hilo zaidi ya kushambuliwa? iangalie monduli. ni kijiji lakini kilichoendelea, ni vijiji vingapi utavifananisha na monduli. lami, elimu kwa wote na hata hali ya lowassa kusikiliza matatizo ya watu wake ana kwa ana kila mwaka mpya inatosha kumprove kwamba, hakuna kiongozi kama yeye, despite mapungufu atakayo kuwa nayo ambapo kila mwanadamu anayo hat mimi. tusijidanganye.... lowassa still biyeee. mi ningeambiwa nichague rais 4 2015 ningemchagua yeye, and u would have seen, so fast dramatic change......