Matokeo ya michepuko

Matokeo ya michepuko

ndio akome kuliko kuiba borA akuoe mke wa pili na kama ni mkristo jiondoe mapema watu wanamahasiraa

Huyo mwenye mume ni -------- tu. Mwanaume limekusaliti na kuzaa nje bado unapigana tu!
Utastaajabu huyo mume ndie anaenda kumfungulia kesi mkewe kwa kumjeruhia mchepuko wake
 
lakini wote wabaya ila mbaya zaidi ni mwanaume mimi nadhani kama mke na mume mmeshindwana ni bora kuachana kuliko kutafuta matatizo na mpaka mkewe kufikia kufanya haya pingine amefanyiwa maudhi mengi mno au hata mchepuko ulikuwa ukitamba. na nyie wanaume mkiwa nyumba ndogo usimdiscuss mkeo mara mke wangu hajui majambozi ooh mchafu blah blah mkome mwee tumechoka jamanii
 
Nilishaona kwa macho mwanaume kafumaniwa akamaind sana eti katiwa aibu bora angemsubiri wakayamaliza ss yule mwanamke alimpiga yule hawara wa mume huku watu wanashuhudia bas alifika nyumbani akampa talaka na haikupita mwez kamuowa hawara ss ya nn kujidhalilisha ni bora ikitokea zipo njia za kufanya na ujumbe ikafika
Hata mimi nimeshaona mwanaume kafumaniwa mkewe kumuuliza akaanza kumpiga na kumkashifu mkewe mbele za watu wakati kosa ni la kwake na kumwambia kwani unatakaje
 
Bora kisu kuliko jeraha la wembe akipona vidonda vyake alama zake hazifutiki halafu zinakuwa pana pana
 
Michepuko dili ndio, huyo alikuwa mzembe tu.
 
Back
Top Bottom