Matokeo ya mapinduzi ya uongozi wa CC!

Matokeo ya mapinduzi ya uongozi wa CC!

Haya mapinduzi yamegharimu uhai wa raia wangapi?
Afu mbona hao mnaojiita wanamapinduzi ni wepesi sana hamuonekani kuwa na uwezo wa kufanya jambo kubwa kama hili. Nani kawatuma kufanya shughuli hii?

Yani hata mimi mtu mmoja tu nikiamua nawafurumusha wote toka madarakani.

Jambo zilipendwa wangu?
 
Salaam wanaCC!

Kufuatia mapinduzi makali yaliyofanyika jana siku nzima hadi usiku wa manane chini ya uongozi wa Nivea, napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wanamapinduzi wote bila kusahau kuwapa pole wote waliopinduliwa!

Hata hivyo kipekee napenda kutumia fursa kuwajulisha matokeo ya mapinduzi ya jana kama ifuatavyo!

Mwenyekiti ========@arabela
M/Mwenyekiti ======@himidini
Katibu = = = = = = = Lady doctor
Naibu Katibu = = = = Heaven on earth
Mweka hazina = = = Nivea
Kamati/mahusiano== Chimbuvu
Uratibu ndoa = = == Queen Kan
Mpiga picha na kumbukumbu ==== saudari
Mratibu wageni ===== The secretary

Uongozi na wajumbe wanaweza kupendekeza nafasi zingine kwa kadri watakavyoona!

Ahsanteni,

Wenu mwanamapinduzi,

-=-=-==-=- UNDENIABLE
Embu mwondoeni mke wangu The secretary kwenye mambo yenu ya uhaini,halafu Nivea na UNDENIABLE jueni mnatafutwa na interpol.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom