kadovela
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 471
- 678
27th cohortCohort ya ngapi ?
27th cohortCohort ya ngapi ?
Hongera mkuu pale sio mchezoNimeenda na nimefaulu first sitting lakini kazi ilikuwa ya mapambano makali sio lelemama, viwango vya law school ni vya juu sana mtu mwepesimwepesi kuviweza ni ngumu sana.
Asante sanaHongera mkuu pale sio mchezo
27th cohort
Sijui ila wengiwengi tupoOver all mmefaulu wangapi first sitting ?
Ni moja wapo kati ya shule ngumu.Saizi kuna vilio huko tayari
Pale huwa napita naangalia yale majengo!!Saizi kuna vilio huko tayari
DuhHavard school of law ni ya kawaida sanaa na hata ukifaulu pale hauwii kitu, kwa marekani ili uwe advocate lazima ufanye mitihani ya Legal Bars ambayo ufaulu wake ni mdogo sanaaa hata mawaziri kibao walishafeli, na kubwa kuliko yote kwao ni ile New York Legal Bars Examination hadi mtoto wa J.Kennedy aliwai kudunda mara zote alizofanya...
Juzi nasikia law school wametoa matokeo, na wamekula vichwa kisawasawa. Nani mwenye taarifa hizo za matokeo ya juzi?
Baada ya kuona kila sista duu anasema yuko law school na intake kubwa ya mashoga nilijua kuna shida sehemu.Juzi nasikia law school wametoa matokeo, na wamekula vichwa kisawasawa. Nani mwenye taarifa hizo za matokeo ya juzi?
Kwahiyo kwenye Engineering unachojua ni expansion joints tu.... duh au akiongelewa Engineer unachojua wewe ni majengo au Civil Engineer tu.... wake up.Projects zenu zile za expansion joints?? Sio? Tena nyie ndo fani hovyo kabisa magorofa yanaporomoka expansion joints kila mahali sasa sijui mnasomea nini huko...mnashindwa hata na mafundi wa mtaani
Mwambie huyo mijitu imekariri ikisikia Injinia wanajua lazima acheze na tofali.Naona umekariri mkuu, sio kila injinia anajenga nyumba!!!
Siwezi watetea TBA ila wao walitoa maelezo ya yaliyotokea na mpaka leo jengo halina shida...
Alafu mbona na nyie "mawakili wasomi" mmelisababishia hasara hili taifa kwa kuingia Mikataba ya kipuuzi??
Hatari SanaSaizi kuna vilio huko tayari
Wanataka mseleleko haoPale Law school lazima usome...ni Programme nzuri sana na mhimu inaivisha watu hasa wanasheria ukitaka uive vzr baada ya Degree soma pale..lakini usome kweli kweli sio ujanja ujanja wa kibongo mkipigwa mnakimbia mitandaoni kulia lia...hawa watoto wa leo hawasomi wanachat tu na misimu yao sasa wakipigwa wanawahi mtandaoni ...Hata hao Law school wakikufaulisha ujue kabisa ukiingia mahakamani Bila ujuzi utalia mchozi utapigwa PO mpaka wakili wa upande wa pili akuhurumie..Sheria lazima usome ujue procedure its a science no short cut