Matokeo ya kutokufanyiwa Tohara: Mtoto wa kike miaka 12 nayeye anataka azalishwe!

Pole sana ndugu kwa kuwa muumini wa tafiti zilizo asisiwa na watu ambao kila uchao wanataka mwafrika aonekane kama binadam asiyekamilika.

Kwa jicho la mwafrika huru, hizo tafiti ni batili. Jamii yetu imekuwepo toka kuwepo kwa uhai. Kama mila na desturi zetu zingelikuwa na kasoro, wala tusingekuwepo.

Lakini kwa kuwa waliishatufanya sisi kuwa hatuna akili ya kufikiri basi, wanakuja na tafiti zenye nia ya kufanya muafrika aonekane si lolote kwao. Na kwa kusaidiwa na wenzetu wachache walioshiba elimu ya kikoloni, haya ndo matokeo yake. Mila zetu eti mbaya!

Hebu jiulize swali moja rahisi tu. Kama umekuwepo toka miaka ya zamani, nina maanisha zaidi ya 45. Kwa nini jamii ambazo zilikuwa zikifanya tohara kwa watoto wa kiki na wakiume hazikuathirika na janga la ukimwi ukilinganisha na jamii ambazo tohara kwao ilikuwa haifanyiki. Hapa ndipo utapata jibu la faida ya tohara kwa watoto wa kike na wakiume pia.

Nitakufungua kichwa kidogo! Toka enzi za mababu, jamii ya Makabila ya Luo na Kurya yamekuwa yakiishi jirani kabla hata ya wakoloni kuigawanya Afrika.

Kabila la Luo, wao hawakuwa na utamaduni wa kufanya tohara kwa watoto wa kike na wakiume pia.

Jirani zao kabila la Wakurya, wao ni jadi yao kufanya tohara kwa watoto wa kike na kiume pia.

Sasa tafuta takwimu za maambukizi ya ukwimi kati ya miaka ya 80 hadi 90 utaona jinsi gani tohara inafaida kubwa sana zaidi ya tunavyodanganywa na wakoloni kupitia NGO zao.
Msiende mbali hata tafiti za maambukizi ya Ukimwi sehemu zenye kuendeleza tamaduni za tohara kwa mtoto wa kike maambuzi ni asilimia ndogo kuliko sehemu nyingine
 
Hiyo tohara kwa watoto wa kike itawazuia wanaume wasiwatongoze na kuwajaza mimba? Maana hoja yako inalazimisha hitimisho kuwa watoto wa kike pekee ndio chanzo cha hizo mimba za utotoni.
Kama wewe ni mwanaume, jaribu kutongoza binti aliyefanyiwa tohara! Wagumu ajabu, hawatoagi papuchi zao. Lakini hawa ambao bado, wao ndo huwatafuta wanaume. Tatizo kisimi kisipo kwanguliwa kwa kisu cha ngariba, huwa kinawasha ndo maana unaona binti asiye na tohara ni neno moja usha pewa papuchi. Tohara muhimu sana kwa hawa watu. Wazee wetu walikuwa na busara sana.
 
Ubaya wa hii kitu kwenye tendo hawa wanaume wa chips hawawezi kumridhisha mdada wa hivyo. Kwanza lazima mwanaume awe na pumzi ya muda kidogo achochee ili dada na yeye aridhike ukipiga juujuu kama jogoo utamuacha njia panda. Babu zetu walijua mwanaume rijali anataka round 2-3 na walikaa hewani mda mrefu hivyo mwanamke akifika haraka ingekuwa shida wakafanya yao.
Ila madhara ni kwa mwanamke aisee kumuandaa awe tayari inachukua muda kidogo tofauti na ambaye hajakeketwa, na akiwa tayari usipige kijogoo ukashuka.

Issue ya kutoa damu wakati wa kukeketwa sio hoja na walioiweka waiangalie ni dhaifu ndio maana jamii bado hazielewi wanafanya kwa siri kwa sababu hata mwanaume ukitahiriwa naye hutoa damu(utafikiri niko kwenye debate)

Kwenye kujifungua hapo kuna maswali japo risk ya aliye keketwa kuchanika ni kubwa ila sasa: wasio keketwa leo hii wanashindwa kuzaa kawaida operation kibao tofauti na bibi zetu, wanaoongezewa njia sasa ni wote hata wasio fanyiwa n. k.

Madhara ya kisaikolojia ni makubwa kuliko hata hayo ya kimwili baada ya binti aliyekeketwa kusikia jamii ikipinga hilo jambo na baadhi ya watu kukataa kuwa hawaoi binti aliye keketwa 'ACHENI UKEKETAJI'
Wewe ni mtafiti mzuri sana! Haujalalia upande wowote. Uko balanced kabisa. Hongera sana.

Hili swala tunapaswa kama jamii kuliangalia kwa jicho la kiafrika zaidi. Yapo maswali mengi yanayo hitaji majibu. Mfano umegusia kuhusu uzazi, kujamiiana na saikolojia. Nimeipenda presentation yako.
 
Msiende mbali hata tafiti za maambukizi ya Ukimwi sehemu zenye kuendeleza tamaduni za tohara kwa mtoto wa kike maambuzi ni asilimia ndogo kuliko sehemu nyingine
Kwa hoja yako upo sahihi kabisa! Jamii yenye kufanya tohara maambukuzi ni kidogo sana.

Mimi ninatokea jamii inayofanya tohara. Lakini kuna majirani zetu, wao hawafanyi tohara. Wakati janga la ukimwi limeingia miaka ya 1980 wengi sana walipukutika. Kwa wakati huo na elimu yetu vijini tulizani labda hilo kabila wanafanyiana uchawi! Kumbe jibu tulikuwanalo sisi, tohara.
 
Kama wewe ni mwanaume, jaribu kutongoza binti aliyefanyiwa tohara! Wagumu ajabu, hawatoagi papuchi zao. Lakini hawa ambao bado, wao ndo huwatafuta wanaume. Tatizo kisimi kisipo kwanguliwa kwa kisu cha ngariba, huwa kinawasha ndo maana unaona binti asiye na tohara ni neno moja usha pewa papuchi. Tohara muhimu sana kwa hawa watu. Wazee wetu walikuwa na busara sana.
sawa.
umefokieia utotoni..je ukubwani...mfano binti yupo 30 ataolewa? huon atapata ugumu kupata mwenza?
na aspokuwa muwazi anaweza funuliwa na hata waume mia na wakamuacha?
au hujui kisimi kimeumbwa kwa ajili ya kumsaidia mke aridhike kimapenzi pale anapokutana kimwili na mumewe?
wakekete binti zalo na ukoo wako..ila uwaambie kabisa kwa dunia ya sasa hata wakiwa bikra hadi miaka 40 watachezewa bila kuolewa..hakun mwanaume mwenye moyo wa kuoa uchi unaotisha hivo...warudi hukohuko kijijin walikokeketwa kutafuta mume..
 
Pamoja na hasira ambazo wachangiaji wa hoja hii wanazidi kuonyesha. Mimi nitaendelea kuwapa uzuri wa uliofichika ndani ya TOHARA KWA MTOTO WA KIKE NA WAKIUME PIA.

Hebu jiulizeni, ikibidi fanyeni utafiti bila kuwahusisha hao wabaya wetu, wazungu. KWA NINI MAAMBUKIZI YA UKIMWI YAPO CHINI KATIKA JAMII ZINAZOFANYA TOHARA KWA WOTE WAKE KWA WAUME?

Jibu hili hapa:
Kwa wanawake wanaofanyiwa tohara. Ngariba hukata sehemu laini ya juu kwenye kisimi au kinembe na kuacha sehemu ya chini yenye tissue ngumu. Hivyo, katika hali ya kawaida inakuwa kuwa vigumu sana kwa mwanamke aliyefanyiwa tohara kupata michubuko wakati wa tendo la kujamiiana.

Michubuko wakati wa tendo la kujamiiana ndiyo hasa njia pekee ambayo maambukizi ya virusi vya ukimwi huweza kupenya kwa mwanamke. Lakini kama sehemu laini ya juu ya kisimi au kinembe inapokuwa imetolewa kutokana na tohara, mwanamke huyu anakuwa na asilimia ndogo sana kupata maambukizi kama atajamiiana na mwanaume aliyeathirika.

Ndo maana hizi jamii zinazofanya tohara kwa watoto wa kike na kiume maambukizi ni kidogo sana.

Shahawa ya mwanaume mwenye virusi vya ukimwi haiwezi kuleta madhara yeyote ndani ya uke wa mwanamke! Hii inatonakana na uwepo wa acid kali iliyoko ndani ya uke. Walamba chumvi wanajua ukali wa acid hii. Kirusi wa ukimwi hawezi kuishi hata sekunde moja takuwa amekufa.

Kwa hiyo, mwanamke hupata maambukizi kupitia michubuko midogo midogo sana(micro) ambayo huweza kuipata iwapo sehemu laini ya juu ya kisimi kama itapata michubuko hiyo midogo midogo. Kitu ambacho hakipo kwa mwanamke aliyefanyiwa tohara. Hawezi pata hiyo michubuko.

Ukitaka kufanya huu utafiti mzungu hawezi kukupatia pesa ufanye huu utafiti. Maana anajua siri yao ya kutaka kutuangamiza utakuwa umeikomesha. Kwa hiyo, tusipinge tu bila kuangalia kwa kwa jicho la tatu.

FANYENI UTAFITI WA KINA, TENA NINYI NI WASOMI NA MKO KWENYE NAFASI NZURI. TOHARA KWA MWANAMKE INAFAIDA NYINGI SANA.

Kwa wanaume hilo liko wazi pia, tohara ina faida sana.
 
Narejea.

Mtoa hoja hongera kwa kuleta hoja Chokonozi.

Wasomi wa Tanzania ni kati ya jamii dhalili sana hapa Duniani. Elimu waliyopata imewapiga ganzi badala ya kuwa kichocheo cha fikra mbadala.

Kati ya waliopinga hoja wore, hakuna aliyewasilisha Takwimu na badala yake wanapinga tu alimradi wanapinga.

Wanapenda kukiuka kanuni za usomi No research, no right to speak.

Mbona hakuna hata mmoja anayethubutu kutoa Orodha ya vitabu vyenye takwimu zikazosaidia hoja zao?

Sisi wengine tunashindwa kujibu kwa sababu bado tunatakusanya takwimu ambazo tutafanyia analysis.
 
Hili swala halihitaji hoja . Limeshajadiliwa na kuamrirwa na dunia nzima kuwa tohara kwa wanawake marufuku. Sasa weweukija uzushi huu nakuona kama vile unataka kuirudisha saa nyuma. Niite mshamba ilahilimatusi lazima nikurushie. Sidhani kama kuna mtu ataiunga mkono kauli yako.
Je kwa wewe unaziamini hizo tafiti?
 
Usishindane na Mungu kila part ya mwili wetu kaiweka akiwa na maana yake sasa wewe ni nani uitoe to hell with your babu stories, kama unakereka sana na kizazi cha sasa fuata hao babu zako.
Mbona wanaume wanafanyiwa tohara kwa kuondoa ngozi iliyowekwa na mungu?
 
Mkuu tohara kwa mtoto wa kike haimzuwii kufanya ngono kabla ya kumaliza shule. Saa nyinge ni tamaa tu,sio tamaa ya ngono bali ya vitu na/au pesa. Kuna jamaa namfahamu miaka ya 2005/2006 alikuwa anakula dent wa form 3 shule flani hapa Dar, huyo dent ni half-cast wa kirangi na kisomali, jamii hizo hasa wasomali kukeketwa ni lazima. Huyo mtoto alikuwa kakeketwa kwa mujibu wa jamaa na alikuwa na mchumba askari wa jeshi flani maeneo ya Kibaha. Yeye alikuwa anapenda chips kuku kwa sanaaa.
 
sawa.
umefokieia utotoni..je ukubwani...mfano binti yupo 30 ataolewa? huon atapata ugumu kupata mwenza?
na aspokuwa muwazi anaweza funuliwa na hata waume mia na wakamuacha?
au hujui kisimi kimeumbwa kwa ajili ya kumsaidia mke aridhike kimapenzi pale anapokutana kimwili na mumewe?
wakekete binti zalo na ukoo wako..ila uwaambie kabisa kwa dunia ya sasa hata wakiwa bikra hadi miaka 40 watachezewa bila kuolewa..hakun mwanaume mwenye moyo wa kuoa uchi unaotisha hivo...warudi hukohuko kijijin walikokeketwa kutafuta mume..
Tatizo lako unaifahamu tohara kupitia mafundisho na propaganda za kimagharibi. Hivyo itakuwa ni vigumu sana kwa kujielimisha zaidi na kujua uzuri wa tohara kwa mtoto wa kike.

Kama wewe ni mwanaume, ukikutana na mwanamke aliyefanyiwa tohara, asipokuambia hauwezi kujua. Unacho kijua wewe ni upotoshaji kuhusu tohara kwa mwanamke unaofanya na NGO na washirikawao wa magharibi.

Tembelea jamii ambazo hii mila imekuweko, be objective enough to learn. Utajifunza mengi sana. Lakini ukishikilia hicho ulichofundishwa na watu ambao hata hawajawahi kuwaona mangariba , itakuwa vigumu kujifunza kitu kipya.
 
Kimsingi nakubaliana na hoja zako za kwa nini tohara ilikuwepo against hoja za kigeni. Ila ninatofautiana na suluhisho lako.

Hebu tusaidie kuongeza ufahamu.

Je sababu iliyofanya Tohara kwa wanaume haiwezi kuwa ndo sababu kuu wanawake?
 
Mkuu tohara kwa mtoto wa kike haimzuwii kufanya ngono kabla ya kumaliza shule. Saa nyinge ni tamaa tu,sio tamaa ya ngono bali ya vitu na/au pesa. Kuna jamaa namfahamu miaka ya 2005/2006 alikuwa anakula dent wa form 3 shule flani hapa Dar, huyo dent ni half-cast wa kirangi na kisomali, jamii hizo hasa wasomali kukeketwa ni lazima. Huyo mtoto alikuwa kakeketwa kwa mujibu wa jamaa na alikuwa na mchumba askari wa jeshi flani maeneo ya Kibaha. Yeye alikuwa anapenda chips kuku kwa sanaaa.
Hizo ni particular cases, zipo tu. Lakini katika ujumla wake, tohara inapunguza sana mshawasha wa kufanya ngono.
 
Kimsingi nakubaliana na hoja zako za kwa nini tohara ilikuwepo against hoja za kigeni. Ila ninatofautiana na suluhisho lako.

Hebu tusaidie kuongeza ufahamu.

Je sababu iliyofanya Tohara kwa wanaume haiwezi kuwa ndo sababu kuu wanawake?
Jamii ya kiafrika kabla haijaingiliwa na wakoloni ilikuwa na njia zake mbalimbali za kujiendesha. Mfano, tendo la uwindaji lilikuwa ni tendo la kijasiri, kuiwezesha familia kupata chakula, lakini zaidi tendo la kiimani. Hivi ndivyo jamii ya kiafrika ilitafsiri matukio.

Tohara kwa wake na waume:
Jamii iliiona tohara kama
1. Tendo ukomavu katika hatua za makuzi. Hatua ya kutoka utoto kuelekea ujana na hatimaye kupata mwenza
2. Tendo la usafi. Hygiene. Kijana au binti aliyefanyiwa tohara alihesabika kama mtu msafi. Na hii ina ukweli hata ki baiologia.
3. Tendo la ibada. Tohara ilihesabika kama tendo la kiibada katika jamii za kiafrika. Mababu walikumbukwa na mizimu kuhusishwa katika ibada hii.
4. Tendo la ushujaa. Kwa waliofanyiwa tohara walionekana kama mashujaa katika jamii zao, ndo maana liliambatana na zawadi kemkem.
Hivi ndivyo jamii yetu ilitafsiri tendo zima la tohara kwa vijana wao.
 
Kwan mwanamke anajitia mimba mwenyewe au anatiwa na mwanaume?

Mwanamke akifanyiwa hiyo tohara hlf akabakwa na mwanaume hatopata mimba?

Mwanamke akifanyiwa tohara hawezi kurubuniwa na mwanaume?

Rejea kwenye makabila ambayo bado wanafanya hizo mambo yako vipi kwa upande wa wanawake, hakuna mimba za utotoni?

Kiukweli umezingua sana kwa kutetea huu ukatili kwani mwanamke hana haki ya kuenjoy tendo?

Shame on you na wanaosapoti.
 
Back
Top Bottom