Matokeo ya kutokufanyiwa Tohara: Mtoto wa kike miaka 12 nayeye anataka azalishwe!

Mtoa mada nakuunga mkono umewaza mbali sana hawa watoto wa siku hizi hawaezi kukuelewa ndio maana wanaishia kukutukana ni Kweli tohara ilisaidia hata nidhamu ya ndoa ikawepo
Kweli kabisa mkuu! Hawa ni watoto wa juzi tu. Wao tohara wanaifahamu kupitia michezo ya kuigiza iliyofadhiliwa na NGO.

Hawajui lolote. Hata tukiwauliza ilikuwa na umaarufu gani kufanyiwa tohara, wao hawajui. Wanaishia kutukana. Hawataki kujua mila na desturi zao.
 
Yaani wewe mtoa Mada hii , ktk vilaza wotee humu forums na bongo nzima wewe ndiye namba one.. Baladhuli mkubwa...
Wewe utakuwa mtoto wa juzi tu, hivi vitu hauvifahamu. Na kama unafahamu basi itakuwa nikupitia mafunzo ya NGO.

Waungwana hupinga hoja kwa hoja, si matusi. Tuliopitia tohara, huwa haturushi matusi kwa hoja tusiyoielewa. Tohara inafada kubwa sana, na ndiyo suluhisho pekee kwa watoto wetu wa kike na kiume pia. Kama wewe ni msomi, fanya utafiti utajifunza mengi.
 
Jenga hoja, matusi ushamba.
Hili swala halihitaji hoja . Limeshajadiliwa na kuamrirwa na dunia nzima kuwa tohara kwa wanawake marufuku. Sasa weweukija uzushi huu nakuona kama vile unataka kuirudisha saa nyuma. Niite mshamba ilahilimatusi lazima nikurushie. Sidhani kama kuna mtu ataiunga mkono kauli yako.
 
Mjomba ukiendelea kuutetea huu upuuzi wa tohara kwa wanawake iko utaongea live mbeleza watu , na wenye watoto wa kike wanaweza kukutoa ngeu bureee..labda ukaongelee kwa watu wa dodoma, mara nk.
 
Fanya utafiti uone kwanini jamii nyingi za kale ziliwafanyia tohara watoto wakike na kiume. Tohara muhimu sana, na ilisaidia kupunguzo hayo yanayotusumbua sasa. Watoto wakike waliopata tohara wametulia sana. Huwezi ukawalinganisha na hao mguu pande wanaoshindania mabwana kila uchao

Usishindane na Mungu kila part ya mwili wetu kaiweka akiwa na maana yake sasa wewe ni nani uitoe to hell with your babu stories, kama unakereka sana na kizazi cha sasa fuata hao babu zako.
 
Kweli kabisa mkuu! Hawa ni watoto wa juzi tu. Wao tohara wanaifahamu kupitia michezo ya kuigiza iliyofadhiliwa na NGO.

Hawajui lolote. Hata tukiwauliza ilikuwa na umaarufu gani kufanyiwa tohara, wao hawajui. Wanaishia kutukana. Hawataki kujua mila na desturi zao.

Mbona mnavaa Nguo jamani hata hizi sio mila za nwafrika so kama mnataka kurudi kwa uafrika turudi kwa vyote kuanzia nyumba za tembe, punda usafiri, Nguo za ngozi na kila kitu hayo mambo ya kishetani ya mzungu tuwaachie wenyewe sisi tudumishe mila zetu maana ni nzuri sana.hata hizi simu na computer tuzitoe kabisa na mashule tuchome moto hawa wazungu wametuletea mambo ya ajabu kabisa sisi waafrika.
 
Kuna jamii ambayo hazikeketi na watt wametulia tu na kuna jamii zinakeketa wanawake hawajatulia coz anatafuta MTU wa kumridhisha na hampati. Mi naamini malezi na maadili ndio vitu vikubwa sana.
 
Kwenu nyote msioelewa maana ya forum!
Tunapoleta mada katika jamii forum, maana yake mtoa mada anajaribu kuibua mjadala mpya ambao wenye uelewa mpana na mada hiyo huchangia mawazo na uelewa wao chanya ama hasi kwa faida ya wasomaji mbali mbali wa jamii forum. Kwa hiyo, matusi haya faida. Kama hauelewi kaa kimya wenye uelewa wanchangie ujifunze.

Hoja yangu ni kuwa, tahara kwa mtoto wa kike ni suluhisho kwa mimba mashuleni. Kwa sisi tunaotokea jamii zinazofanya tohara, hili lipo wazi kabisa. Bila kisu cha ngariba kukikwangua kisimi au kinembe mtoto wa kike kamwe hawezi kutulia. Fanya utafiti kwa binti yeyote aliyepitia tohara utaona busara ya mababu zetu.

Tatizo tulilonalo wengi wetu tunaochangia mjadala huu, tunaongozwa na akili iliyojijenga katitika propaganda za kimagharibi zinazopandikizwa na NGO, za kutaka kila siku mtu mweusi aonekane hajui lolote!

Eti mtu mweusi yeye ni wa kufundishwa hata jinsi ya kujamiiana na mke wake! Hizi ni propaganda za magharibi. Amkeni watu wangu.

Propaganda za magharibi zinasema eti watoto walilazimishwa kufanyiwa tohara! Hii si kweli hata kidogo! Wanaotokea jamii za makabila yanayofanya tohara wanajua wazi ilikuwa ni hiari ya kila muhusika. Na kwa kweli kila mtu alihamasika kufanyiwa tohara pasipo shuruti. Maana ilikuwa ni heshima kubwa sana katika jamii.

Propaganda za magharibi zinatoa takwimu eti watu wengi walikufa. Hii si kweli hata kidogo, ni takwimu za kuongeza ili hoja yao iwe na mashiko kumdhalilisha mtu mweusi na mila na desturi zake. Mbona lika langu tuliofanyiwa nao tohara wake kwa waume toka kijiji chetu wote tupo! Wanawake tayari wanawajukuu wakutosha tu. Hakuna aliyekufa, wala hata ule ugonjwa wao walioleta kutumaliza hakujaweza kutupata! Amkeni watu wangu.

Kinacho takiwa kukifanya, ni kutengeneza mazingira mazuri kwa ngariba wetu kwamba, tohara ifanyike kwenye mazingira ya usafi kwa kila candidate kuwa na vifaa vyake ili wasichangie nyembe. Pili kutowasumbua na kuwadharirisha ngariba wetu, kwa nia ya kumfurahisha mkoloni na propanganda zake zenye nia ya kutudharirisha.

Tohara kwa mtoto wa kike ndio suluhisho pekee. Lakini kwa akili ya kulishwa na NGO, wataleta kondom kuwahamasisha mabinti, mimba zitaendelea kutokea! Watakuja na suluhisho la kutoa mimba na kuwapa vidonge vya uzazi wa mpango, mayai yataungua, wakishakuwa wakubwa hakuna kizazi tue! Hali ndo lengo lao na NGO zao!
 
Mbona mnavaa Nguo jamani hata hizi sio mila za nwafrika so kama mnataka kurudi kwa uafrika turudi kwa vyote kuanzia nyumba za tembe, punda usafiri, Nguo za ngozi na kila kitu hayo mambo ya kishetani ya mzungu tuwaachie wenyewe sisi tudumishe mila zetu maana ni nzuri sana.hata hizi simu na computer tuzitoe kabisa na mashule tuchome moto hawa wazungu wametuletea mambo ya ajabu kabisa sisi waafrika.
Unaona sasa! Nani alikuambia kuwa nguo zililetwa na mzungu. Soma historia kwa jicho la kiafrika. Wakoloni wametupumbaza tujione kana kwamba hapakuwa na maendeleo yeyote huku. Kwa ujinga ulioletwa na ukoloni tunakubali na kuona wao ndo wakombozi wetu.

Mzungu ameonakana barani afrika majuzi tu, karne ya 15 kuelekea ya 16. Miaka ya kuanzia 1500+ Kabla ya hapo jamii ilikuwa inaishi na kujitawala. Soma historia ya "Ancient Civilization in Africa" pia "Ancient African Kingdoms" soma makala zilizoandikwa na waafrika. Mwisho, tusiwe waoga, Tohara kwa mtoto wa kike si mbaya kama inavyoelezwa kwa propaganda za mzungu.
 
Usishindane na Mungu kila part ya mwili wetu kaiweka akiwa na maana yake sasa wewe ni nani uitoe to hell with your babu stories, kama unakereka sana na kizazi cha sasa fuata hao babu zako.
Pole sana kwa kutokumjua hata huyo mungu wako unayemuabudu. Kama wewe ni mkristo kweli, unayefuata mafuundisho ya bibilia, basi upoupo tu.Bibilia iko wazi kabisa katika swala tohara! Fanya utafitu soma vizuri, bwana alitahiriwa akiwa na umri gani!

Propaganda za NGO zilishakukaa, ukashindwa hata kupambanua kati ya mafundisho ya dini yako na mafundisho ya mzungu
 
Mjomba ukiendelea kuutetea huu upuuzi wa tohara kwa wanawake iko utaongea live mbeleza watu , na wenye watoto wa kike wanaweza kukutoa ngeu bureee..labda ukaongelee kwa watu wa dodoma, mara nk.
Jamii inayofanya tohara wanaelewa thamani yake
 
Hili swala halihitaji hoja . Limeshajadiliwa na kuamrirwa na dunia nzima kuwa tohara kwa wanawake marufuku. Sasa weweukija uzushi huu nakuona kama vile unataka kuirudisha saa nyuma. Niite mshamba ilahilimatusi lazima nikurushie. Sidhani kama kuna mtu ataiunga mkono kauli yako.
Jifunze kutoka jamii zinazojua maana ya tohara, na zimekuwa zikifanya tohara utaona uzuri wake.

Lakini, bila kisu cha ngariba kukwangua kisimi, mtoto wa kike hawezi kutulia. Ukweli utabaki palepale.
 
Hiyo tohara kwa watoto wa kike itawazuia wanaume wasiwatongoze na kuwajaza mimba? Maana hoja yako inalazimisha hitimisho kuwa watoto wa kike pekee ndio chanzo cha hizo mimba za utotoni.
 
Na bora umepost mwenyewe na sio kuwakilisha kundi la watu maana watu wenye fikra kama zako wanafaa kabisa kuwa mlo wa wale simba waliopo hatarini kupotea........boko hilo umetoa.
 
Ubaya wa hii kitu kwenye tendo hawa wanaume wa chips hawawezi kumridhisha mdada wa hivyo. Kwanza lazima mwanaume awe na pumzi ya muda kidogo achochee ili dada na yeye aridhike ukipiga juujuu kama jogoo utamuacha njia panda. Babu zetu walijua mwanaume rijali anataka round 2-3 na walikaa hewani mda mrefu hivyo mwanamke akifika haraka ingekuwa shida wakafanya yao.
Ila madhara ni kwa mwanamke aisee kumuandaa awe tayari inachukua muda kidogo tofauti na ambaye hajakeketwa, na akiwa tayari usipige kijogoo ukashuka.

Issue ya kutoa damu wakati wa kukeketwa sio hoja na walioiweka waiangalie ni dhaifu ndio maana jamii bado hazielewi wanafanya kwa siri kwa sababu hata mwanaume ukitahiriwa naye hutoa damu(utafikiri niko kwenye debate)

Kwenye kujifungua hapo kuna maswali japo risk ya aliye keketwa kuchanika ni kubwa ila sasa: wasio keketwa leo hii wanashindwa kuzaa kawaida operation kibao tofauti na bibi zetu, wanaoongezewa njia sasa ni wote hata wasio fanyiwa n. k.

Madhara ya kisaikolojia ni makubwa kuliko hata hayo ya kimwili baada ya binti aliyekeketwa kusikia jamii ikipinga hilo jambo na baadhi ya watu kukataa kuwa hawaoi binti aliye keketwa 'ACHENI UKEKETAJI'
 
Tembelea Dodoma Kondoa,Singida,Mara n.k. ili ujionee, maana hizo mila bado zipo,kama hujaomba moderators wafute uzi wako...
 
Back
Top Bottom