Matokeo ya kufuga kitambi

Nimecheka sana kama mazuriπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£
 
Wewe umekua miaka ya 80? Enzi zile njaa ilikuwa kali! Ugali wa njano tena lwa foleni. Sasa hivi misosi ya kumwaga ma junk food kibao mara Edson chips sijui nani biriani mara KFC yaani mitakataka kila angle
Mshua mbn umeweka ??? Ni kweli junk food nazo ni changamoto bila kuwasahau wafukiaji kama caterpillars nao ni changamoto
 
Kitambi sitaki kukisikia hata iweje, nikisimama na wadogo zangu wazee wanaonekana wao bs of vitambi πŸ˜€...kikikupata kukitoa utaimba na tizi πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…