Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

Dogo HAPA TUNACHAMBUA ELIMU YA MBUNGE WA SIMANJIRO , HIVYO VIHEREHERE VYAKO PELEKA MBELE HUKO , NDIYO MAANA MNASHINDWA HATA MAISHA MMEBAKI KUTUMIKISHWA NA CCM TU ! AIBU SANA !

We mi sijashindwa maisha kijana...

Sijaanza kutumia urithi wa baba hata kidogo bado nakula mshahara wangu wa nguvu....

CCM naipenda
 
Kabla ya ma tokeo ya Mbowe, tuwekeeni kwanza ya Serukamba maana anaongoza kamati teule ya bunge katika mambo muhimu nchini, tuachane na akina Mbowe maana wao kwa sasa ni serekali KIVULI. Yakitokea yanayoendelea hapo jirani Malawi nao tutachimba mambo yao.

Sasa si tutakuwa tumerudia kosa hilo hilo?
 
Bado sijahakikisha kwamba akili ya darasani inaweza inatumika 100% kwenye maisha ya mwanadamu na kumtoa - bado napata shinda kuona kijana aliyefeli kidato cha nne kwa kupata div four ya point 30 anamiliki kampuni kubwa baada ya miaka 20 akiwa ameajiri watu hadi wenye degree mbili na ilihali yule aliyepata div 1 ya point 9 mwenye Masters ya Biashara toka mlimani bado anaajiriwa na kulipwa kamshahara kadogo, kajumba ka kupanga na kagari ka kutembelea - anaridhika.

Nani mwenye akili kati ya hawa wawili.

Kumbe ubunge ni kampuni binafsi ya kutengeneza faida...............!!!!!!
Kweli sasa umeamua kumaliza kabisa mjadala
 
.....and how comes we've a lot of professors in Politics if at all 3rd Class students enter politics e.g Prof. Sarungi, Prof Lipumba et tal. What u r saying can only valid in other countries especially developed one rather than Tanzania!

Prof. Maji Marefu. Yani hawa hafiki hata 10 katika bunge la watu zaidi ya 400, washakuwa Sample ?
 
Asante kwa taarifa.
Tunaomba na utuwekee matokeo ya Mbowe!
 
Sasa si tutakuwa tumerudia kosa hilo hilo?

Sidhani kama itajalisha mbona ni miaka zaidi ya hamsini kwa njia hiyo hiyo? Hawa jamaa tutawacheki tukiona wameshinda na nitumaini kama katiba itadhibiti ma-vihiyo kukwea hadi huko waliko hawa jamaa.
 
Nimeamini kufeli mtihani si kufeli maisha. Sasa hvi olesendeka anakula m 12 na ushehe kwa mwezi ss wenye ma phd tunakula vumbi
 
attachment.php
Hawa ndio wanaotutungia sheria eti, mambo yao yanafanana na akili zao, ziro tu!
 
hahaha heri huyo kafika form6 mbowe mwenyekiti wa chadema leteni matokeo yake ya form4 au matokeo ya mnyika ya chuo kikuuu udsm
 
hahaha heri huyo kafika form6 mbowe mwenyekiti wa chadema leteni matokeo yake ya form4 au matokeo ya mnyika ya chuo kikuuu udsm
wewe ugeni humu jf una kusumbua pia na umri wako unaonekana umekua ila akili haijapiga hatua.......utoto we nenda facebook huku hapakufai
 
Back
Top Bottom