Lubuva anajitia uchizi yani anapokea matokeo kutoka CCM ndiyo anatangaza.
hizi figisu ziko well observed very soon kitaumana.
Am sick and tired,I hate my country!
Kila sehemu walikua wameandaa kura za Magufuli ili apite.Watanzania wamemchagua Lowassa lakini wao wanalazimsha.
Kabisa mkuu. Historia duniani kote ipo wazi kuwa kuwaondoa watawala dhalimu ni lazima kinuke. Lakini kwa hizi keyboard, sidhani! Yaani kutokana na upole wetu, ccm sasa wala hawaiibi tena bali inapora ushindi kweupe huku tunaona, nasi tunasema, hewala baba ccm!?
Ningekuwa Invisible , hii comment ningeipandisha hapo juu kwenye uzi huu.
Kabisa mkuu. Historia duniani kote ipo wazi kuwa kuwaondoa watawala dhalimu ni lazima kinuke. Lakini kwa hizi keyboard, sidhani! Yaani kutokana na upole wetu, ccm sasa wala hawaiibi tena bali inapora ushindi kweupe huku tunaona, nasi tunasema, hewala baba ccm!?
Lubuva anajitia uchizi yani anapokea matokeo kutoka CCM ndiyo anatangaza.
hizi figisu ziko well observed very soon kitaumana.
Mr. Junior sote tutatoa hesabu kwa Mungu siku itakapofika then tutajua kama haki ni upuuzi au sio kwa sasa enjoy!Acheni kumtaja Mungu kwenye huu upuuzi wenu.
Yaani mnalalamikia vitu ambavyo havipo.
Msipende kubeba uzushi bila kufuatilia.
January makamba aliiba mtihani galanos leo hii wanampa jukumu la kuiba kura bumbuli hesabu hakajui kale
Upande mmoja unaweka NEC Document lakini upande mwingine unaweka maelezo yasiyokuwa na reference... ndo aina gani ya uwasilishaji mada hiyo? Hivi akitokea mtu mwingine akaweka hiyo document ya NEC kisha akasema January ameshinda kwa kura 41,711 na mpinzani wake amepata kura 2300... je unaweza kukataa hayo maelezo? Na ikiwa utakataa, ni kwanini uharamu wake na nini uhalali wa matokeo yako hayo ya ubunge?! Weka reference---Jimbo la Bumbuli matokeo ya Ubunge yanaonesha kuwa waliopiga kura ni watu 20,512 ambapo January Makamba amepata kura 17,805. Lakini cha ajabu kwenye matokeo ya Urais jimbo hilohilo la Bumbuli waliopiga kura ni watu 44,011 ambapo Magufuli anadaiwa kupata kura 35,801.
Sasa jiulize imekuaje waliopiga kura za mbunge wawe watu 20,512 halafu kura za Rais wawe 44,011. Yani kuna watu 24,000 walienda vituoni kupiga kura za Rais tu lakini hawakupiga za Mbunge.
Haya ni maajabu ya dunia. Haihitaji degree kujua kwamba Tume imeongeza wapiga kura hewa 24,000 na kura zote hizo wakampa Magufuli.
Cookie Moderator Mhariri Active kwa ufafanuzi wa huyu mheshimiwa naomba bora muutoe huu upotoshaji wa mleta mada au athibitishe hizo kura 20,512 za Makamba kwenye uchaguzi mkuu kazitoa wapi ilhali zilikuwa ni kura ya maoni ndani ya CCM?Upotoshaji wa aina hii ndo unatakiwa kuwapigisha watu ban.Hii haina ukweli wowote ni uzushi tu. Jimbo la Bumbuli katika Ubunge zimepigwa kura 44,011 na kati ya hizo kura 167 zimeharibika kwa hiyo kura halali ni 43,844. Kati ya hizo January Makamba amepata kura 36,887 na David Changeghea (CHADEMA) kapata kura 6,957. Kura 20,512 ambazo unaziongelea ni kura zilizopigwa wakati wa Kura za Maoni za Chama cha Mapinduzi kuteua Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Bumbuli. Watanzania tuepushane na uzushi usio na msingi ambao unaweza leta machafuko. Naambatanisha matokeo hayo ya Urais, Ubunge na Kura za maoni BUMBULI. View attachment 303258View attachment 303259View attachment 303260
Mimi Mtanzania halisi halisia! Nilikuwa mwanachama wa Tanu Youth League, mwanachama wa TANU, nilishiriki kutafuta jina la chama kipya na hatimaye kikaitwa CCM, nikawa mwanachama wa CCM, nilikwenda JKT mujibu wa sheria, nilishiriki mapambano ya kukomboa nchi za Afrika Kusini, nilikuwa mwalimu wa siasa, nilishiriki vita ya kumuondoa nduli Iddi Amin na mengine mengi. Kama mimi si Mtanzania halisi, basi wengine wote pia si Watanzania!Lazima ife ukawa kama ilivotabiriwa na mtabiri maarufu. Sidhani kama wewe ni mtanzania halisi
Mmmmh aisee hao wataalam wa IT nina mashaka nao, ni aina gani ya uchakachuaji wanayoitumia mbona inagundulika kiurahisi? Sifa ya kufoji ni kushindwa kutambua kiurahisi