Matokeo ya Jimbo la Bumbuli yana Utata

Matokeo ya Jimbo la Bumbuli yana Utata

Status
Not open for further replies.
Am sick and tired,I hate my country!

Mfuate lowasa monduli pole kwa kupoteza kura yako kwa wapinzani kwani wamepoteza mwelekeo ushauri kwa mbowe ajiuzulu au ajitathimini viva lipumba na dr.slaa
 
KipimaPembe, ingawa kuna chumvi imeongezewa bado kuna harufu ya uchakachuaji kwenye matokeo ya Bumbuli. Ukiangalia kwenye kura za Urais wapiga kura 44 011. Kura zote zilipigwa sawasawa kwa na hakuna hata kura mmoja iliyoharibika. Ila kwenye kura za Ubunge kuna kura 169 zilizoharibika. Swali la kujiuliza inakuwaje hawa watu smart wa Bumbuli wanaweza kupiga kura vizuri za Urais ampampo karatasi ina wagombe 8 halafu kati yao wapiga kura 169 wafanye makosa kwenye kuchagua watu 2 tu!! Kwa literacy level ya nchi yetu siaamini kama watu 44 000 wanaweza kupiga kura bila kura hata moja kuharibika. Hata kwenye NEC ya CCM tumeshudia kura zikiharibika kila siku!!

Hili unaloshangaa ndilo linalowezekana zaidi. Watu kuharibu kura haitegemei idadi ya wagombea wala nafasi inayogombewa. Kupiga kura moja vizuri hakumaanishi kuwa nyingine lazima iwe vizuri pia. Halafu tazama neno linalotumika: "kura zilizokataliwa", maana yake wapo wanaozikataa baada ya kuridhika mambo fulani fulani, pengine mawakala wa ubunge walikuwa wakali zaidi katika kubishania usahihi/utimamu wa karatasi ya kura. Na mwisho zingatia, haya yote hayatokani tu na literacy level ya wapiga kura, zipo factors nyingine.
 
Kwa literacy level ya Tanzania haiwezekani kura 44 000 (Elfu arobain na nne) zikapigwa isiharibike hata mmoja ............ that is not possible!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom