Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,191
Wadau, asubuhii hii saa 12, Nape amehojiwa na Tbc taifa kuhusu hatua yake ya kutangaza matokeo mtandaoni wakati msimamizi wa uchaguzi hazatangaza. Amekana kuweka matokeo mtandaoni, na ameikana JF kua yeye hawezi kuandika humu maana hana ID, kwahiyo matokeo yaliyotangazwa JF yeye hayajui! sasa najiuliza iweje akane yale matokeo na wakati hata kwenye wall yake aliweka? na ile ID ya Mnauye jr sio yake wadau mbona anakana si member?
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini
Pole..nakuonea huruma sana unavyoongea kimachungu!
Thread hii ndiyo imemfanya Nape aikimbie ID yake!!!!!!!!!!!!!!!!!! hahah ahahaha ahahahah!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/177530-igunga-%24100-kwa-nape-tik-tak-tok.html#post2567499
Bado cmuamin huyu kijanaNape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!
Igunga wameshajichimbia kaburi jingine tena kwa miaka 4 ijayo! Watakuwa ndani ya kifungo ndani ya miaka 4 na watakuwa wakilia na kusaga meno juu ya maisha magumu haya acha waendelee kufa njaa, kuishi maaisha magumu maana ndo wamechagua mafisadi.